Kuhusu Mitihani ya Carry over

Kuhusu Mitihani ya Carry over

Wakuu kwema,naweza kuwa nimeweka kwenye forum isiyo sahihi sana lakini mtaniwia radhi.Nina jamaa yangu alikuwa anasoma chuo cha SAUT,akiwa mwaka wa mwisho alipata carry ya masoma mawili,kabla ya kwenda kufanya hiyo mitiani akapata kazi hivyo akaenda kufanya kazi akaachana na hiyo mitihani.Sasa kazi imeisha anataka kwenda kufanya hiyo mitihani.Alimaliza toka mwaka 2017,je uwezekao huo upo? Na utaratibu wake ukoje? Shukrani sana

Kama alifanya uamuzi huo baada ya kujiridhisha na Examination Regualation ya chuo inavyoelekeza hatakuwa na shida, lakini kama hakuisoma na ama aliisoma akafanya kinyume chake, nampa pole sana!
 
Haisumbui hata,peleka barua kwa dean of faculty ya kuomba ku carry over course zako,then atakupa barua uende kwa It ili akurudishe kwenye system afu unaenda kulipia,hapo ndo unakua rasmi,tena komaa umalize hivyo vimeo this year ukichelewa results zinafutwa zote.
Mkuu kirahisi tu hivyo!
 
aache uoga kwa nn asingesema yy tu , 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom