Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 431
- 61
Wakuu kwema,naweza kuwa nimeweka kwenye forum isiyo sahihi sana lakini mtaniwia radhi.Nina jamaa yangu alikuwa anasoma chuo cha SAUT,akiwa mwaka wa mwisho alipata carry ya masoma mawili,kabla ya kwenda kufanya hiyo mitiani akapata kazi hivyo akaenda kufanya kazi akaachana na hiyo mitihani.Sasa kazi imeisha anataka kwenda kufanya hiyo mitihani.Alimaliza toka mwaka 2017,je uwezekao huo upo? Na utaratibu wake ukoje? Shukrani sana
