Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Chachasteven umecheki muda gani kozi hiyo statement ni noma
 
Wakuuu kila nikiandika yale maneno ya chin naambiwa nmekosea kunini????msaada kwa anaye jua pls
 
Not secured means umekosa mkopo bt watatoa batch nyingine
 
Not secured lon,,,uduanz huuu sasa lakin chuo lazimaaa,,,,,,batch lin mkuuu
 
Huku ni kupatwa kwa bodi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji20]
 
Not secured for a loan,ni neno nilolichukia sana mwaka jana na kuninyima raha ila batch ya tatu ilipotoka na mzigo kusoma nilipumua kidogo japo ada nimelipiwa kidogo.Chuo siyo ada bt chuo ni chakula,malazi na stationary hapo ndipo panapomaliza pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…