Kuhusu malipo ya kodi ya Acacia

Kuhusu malipo ya kodi ya Acacia

von Neumann

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
29
Reaction score
6
"Hata hivyo, pamoja na Acacia kuanza kulipa kodi, inaidai Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dola za Marekani 120 milioni (zaidi ya Sh240 bilioni za sasa) ikiwa ni malimbikizo ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT).

Akijibu maswali ya mwandishi wa habari hizi kuhusu utaratibu wa kampuni hiyo kulipa kodi ya mapato, Makamu wa rais wa Acacia, Deo Mwanyika alisema wameshalipia nusu ya kodi ya Dola za Marekani 20 milioni (Sh43 bilioni) inayotakiwa kwa mwaka huu na endapo bei ya dhahabu itaongezeka kwenye soko la dunia, kodi hiyo inaweza kuongezeka mpaka Dola 30 milioni (zaidi ya Sh60 bilioni)."

-from Mwananchi Newspaper

Nimeamua kidogo nipige mahesabu nione kama imepenya au imenasa. Hebu tufaye hivi:

Data given:
--->wanalipa kati ya 40b to 60b per year
--->wanatudai 240b hadi sasa
--->watafunga after 7 years
--->wamefungua 16 years ago

Solution:
--average malipo = (40 + 60)/2 = 50b per year
--hela watakayotulipa = 50b x 7 = 350b
--hela wanayotudai = -240b
therefore: faida = 110b;
--wamekaa = 16 + 7 = 23 years;
--faida kwa mwaka = 110b/23y = 4.78b kila mwaka

Yaani kila mwaka ni kama tumepata 4.78 billions lakn wait..................
..........

Hii ndo hela tunayotumiaga kwenye maadhimisho ya Uhuru
kwahiyo ngoma droo for 23 years mfukoni inabaki 0.00Tzs
 
Hahaha ngumu kumesa lakini ndio hivyo
 
Ndiyo maana wakenya, wanyarwanda na waganda wanatudharau sana
 
Back
Top Bottom