Kuhusu Makalio...

Kuhusu Makalio...

Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?

Sidhani kama mwanaume rijali anaweza kufurahia vitendo kama hivi, kwa upande wangu naona si kitendo kizuri. By the way, umewaza nini Boflo kuuliza swali kama hili?
 
Last edited by a moderator:
hivi Boflo ndo haya ulikuwa unasoma darasani siku zote hizi haupo humu!?
maswali gani haya?
sa unataka useme ni raha kwa mwanaume kushika kalio!uuuuwih!mi unanipa shida wewe mtu ahahhahahhahhahahhahah haya bana!ngoja nimwite watu8 ,e bana mtani eeeeh umemsikia swahiba wetu my dear wangu mi ananishangaza ujue!ah!

nimemsikia mtani na nimemuwahi hapo juu kabisa...
 
Last edited by a moderator:
yaani mnakosa raha sana nyie me mnaokataa.. inaongeza ladha sana hii sasa upate anayejua kupitisha na kaulimi lool lazma umgande.
 
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?

hujambo Boflo?
umepotea? so wewe umewahi kushikwa makalio? ulijisikiaje?
 
Last edited by a moderator:
Maumbile ya ke,na me ni tofauti!hivyo anachofanyiwa mwanamke akafurahi, sicho anachofanyiwa mwanaume akafurahi, labda hilo swali wanaweza kujibu MASHOGA kama wamo humu!

Yegoo umemaliza yote mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama mwanaume rijali anaweza kufurahia vitendo kama hivi, kwa upande wangu naona si kitendo kizuri. By the way, umewaza nini Boflo kuuliza swali kama hili?

Nimeuliza hivi....kwa sababu kuna thread 1 kuhusu chuchu za men nilirusha, wana Jf wengi humu wali comment kuwa wanasikia raha kunyonywa chuchu na mwanamke, nimetaka kujua msimamo wao pia kuhusu makalio, snowhite njoo utoe msaada wa majibu
 
Last edited by a moderator:
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?

ah wowowo ya mwanamke safi sana kuichezea na kulimondya mondya hahaha
mie napenda sana demu apapase makalio yangu na kuya squeeze
 
We 'BOFLO' jina lako linasadifu unachokuwa unapost humu.. nimekufatilia toka ulvyojiunga na JF.

I RESERVE MY COMMENT!!
 
Hili lina utata sana. Ukute na t'ako lenyewe limejaa 'manyoya'!
 
ah wowowo ya mwanamke safi sana kuichezea na kulimondya mondya hahaha

mie napenda sana demu apapase makalio yangu na kuya squeeze

Mh! mm nina wasiwasi na wewe!!!!!!! kama -------??????
 
Back
Top Bottom