Kuhusu madaraja ya leseni na magari yake

Kuhusu madaraja ya leseni na magari yake

Ulichukuwa c3
Hey members nawapa mrejesho
Nimefanikiwa kusoma driving katika chuo Cha veta Pwani chini ya mwalimu Gaspar(mtaalam) kuanzia siku ya tarehe 27/11/2023 mpaka tarehe29/12/2023

Kuna swali nimeona juu hapo kuhusu daraja B na D kwa mujibu wa mwalimu amesema Amna ulazima wa kuwa na daraja B wakati ukiwa na daraja D
Hata mimi nilijibu hivi hivi kama huyu mwalimu hata hivyo ingawa kukawa na missunderstanding.
 
Back
Top Bottom