Habari zenu wadau, Nilikua nauliza kama kuna mtu ana ujuzi na upatikanaji wa mashine za kubolea na kusaga pamoja na bei yake..plz kama unafahamu lolote kuhusu hili naomba majibu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.