Kuhusu Lowassa kwenye Power Breakfast ya Clouds FM

Kuhusu Lowassa kwenye Power Breakfast ya Clouds FM

Muda huu mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha power breakfast ametangaza kuwa mahojiano baina ya kipindi hicho na Edward Lowassa yaliyotangazwa kufanyika leo yameahirishwa na yatafanyika kesho asubuhi..

Wale tuliokuwa tunasubiria mpe taarifa na mwenzio kuwa ndo hivyo yatafanyika kesho

umekosa kaz ya kufanya mkuu
 
Na Leo yameharishwa hadi cku itakapo tajwa mmeambiwa mmtume maswali yenu 😀😀😀😀😀
 
Duuuu kiongozi wa kweli ni yule ambayo atakuwa na huchu na maendeleo ya nchi yake, lakin siyo yule anayetumia pesa kuwalaghai wananchi kuingia ikulu
 
Back
Top Bottom