Kuhusu Lowassa kwenye Power Breakfast ya Clouds FM

Kuhusu Lowassa kwenye Power Breakfast ya Clouds FM

Muda huu mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha power breakfast ametangaza kuwa mahojiano baina ya kipindi hicho na Edward Lowassa yaliyotangazwa kufanyika leo yameahirishwa na yatafanyika kesho asubuhi..

Wale tuliokuwa tunasubiria mpe taarifa na mwenzio kuwa ndo hivyo yatafanyika kesho

Hakuna mtu wa kusikiliza radio kama hiyo ndugu yake tbc
 
Kiongozi wa kweli ni yule ambaye wananchi WANAJIPENDEKEZA KWAKE HUKU WAKIMSHAWISHI AWAONGOZE.
Kiongozi wa kubumba ni yule anayetumia nguvu kubwa kushawishi,kuhonga na kulaghai ili WAMCHAGUE YEYE AWAONGOZE.
Hayo tumeshayaona mtu alitumia miaka 10 kwa mtandao wake kuhakikisha anachaguliwa kuongoza. Lakini tulichoshuhudia nikuwa hakuwa anajua anataka kazi hiyo ili awafanyie nini waliomchagua zaidi ya kuwaambia hajui kwa nini wao ni maskini.

Hao ndio ccm
 
badala ya kutumia huo muda hata kujifunza vlookup kwenye excel wewe unataka umsikilize low wasa
 
Muda huu mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha power breakfast ametangaza kuwa mahojiano baina ya kipindi hicho na Edward Lowassa yaliyotangazwa kufanyika leo yameahirishwa na yatafanyika kesho asubuhi..

Wale tuliokuwa tunasubiria mpe taarifa na mwenzio kuwa ndo hivyo yatafanyika kesho

A reputable leader kama EL kutumia chombo cha habari kama hicho kwa mambo anayoamini kuwa yatagusa wengi nadhani haileti akili. Bila shaka anataka kufanya majungu tu kama ilivyo akili ya atakae mhoji.
 
Mark My word again....Lowassa akacha mahojiano PB clouds FM hahahahaha
 
Amefanya maamuzi magumu ya kuukacha mjadala!
 
Back
Top Bottom