Kuhusu Lowassa kwenye Power Breakfast ya Clouds FM

Kuhusu Lowassa kwenye Power Breakfast ya Clouds FM

Magnesium

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
317
Reaction score
185
Muda huu mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha power breakfast ametangaza kuwa mahojiano baina ya kipindi hicho na Edward Lowassa yaliyotangazwa kufanyika leo yameahirishwa na yatafanyika kesho asubuhi..

Wale tuliokuwa tunasubiria mpe taarifa na mwenzio kuwa ndo hivyo yatafanyika kesho
 
napita au kaogopa mapinduzi ya burundi
 
...so what ? atakiri kurudisha hela za Richmond...
 
Kiongozi wa kweli ni yule ambaye wananchi WANAJIPENDEKEZA KWAKE HUKU WAKIMSHAWISHI AWAONGOZE.
Kiongozi wa kubumba ni yule anayetumia nguvu kubwa kushawishi,kuhonga na kulaghai ili WAMCHAGUE YEYE AWAONGOZE.
Hayo tumeshayaona mtu alitumia miaka 10 kwa mtandao wake kuhakikisha anachaguliwa kuongoza. Lakini tulichoshuhudia nikuwa hakuwa anajua anataka kazi hiyo ili awafanyie nini waliomchagua zaidi ya kuwaambia hajui kwa nini wao ni maskini.
 
Wameeleza vizuri kuwa Lowasa alikuwa Musoma jana hivyo kesho ndio wataongea nae
 
Haraambee ya kuchangia ujenzi wa mskiti arumeru bado???
 
Kiongozi wa kweli ni yule ambaye wananchi WANAJIPENDEKEZA KWAKE HUKU WAKIMSHAWISHI AWAONGOZE.
Kiongozi wa kubumba ni yule anayetumia nguvu kubwa kushawishi,kuhonga na kulaghai ili WAMCHAGUE YEYE AWAONGOZE.
Hayo tumeshayaona mtu alitumia miaka 10 kwa mtandao wake kuhakikisha anachaguliwa kuongoza. Lakini tulichoshuhudia nikuwa hakuwa anajua anataka kazi hiyo ili awafanyie nini waliomchagua zaidi ya kuwaambia hajui kwa nini wao ni maskini.
Kama yupi kiongozi wa kweli wananchi wanajipendekeza kwake?
 
Clouds mali yake, ana uhuru wa kuongea mda wowote autakao!
Lakini mwisho wa hiki kiredio ndio umewadia, waulize wenzao waliotumika km wao leo wako wapi???
 
Hapo ndo utapoona umafiki Wa mawingu maswali najua mamvi atajiandalia wao watakuwa kusifia tuu
 
Hata mkutano ulikuwa ufanyike stadium jumamosi umearishwa mpaka tarehe 24.05,2015 sasa TEAMLowasa mna kazi gani mipango yenu haileweki mnapanga halafu mnaarisha hii inaonyesha hamna maandalizi yoyote kwa sababu hajiamini kabisa mshaurini huyu mzee apumzike .
 
Last edited by a moderator:
Cc PASKO hakujiandaa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom