Kuhusu Kwenda Nje

Kuhusu Kwenda Nje

telfontelfon

Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
40
Reaction score
121
Ndugu Zangu Nimemaliza Chuo Hapa Sua sasa kipindi nasoma nilikuwa najichanga ili niweze kwenda Denmark Kupata Masters... Lakini mimi nina nauli na hela ya kunikimu huko Ada Sina Ila Mpango Wangu Nikifika Kule Nifanye Kazi Mbali Mbali Nili Niweze Kupata Ada Au Niende Hata kwenye Vyuo Kuomba Bursaries Na Scholarships Ivi Kinawezekana Hiki Kitu ?
 
Kwanini usifanye kazi izo mbalimbali uku Tz upate ela? Ila kitu nimekuelewa unaudhubutu na imani ndani yako, umesha weka dhamira juu ya elimu yako. Mfano mimi nilivyo kuwa nasoma chuo niliweka imani ya kwamba pindi nitakapo maliza Diplm yang sitopata tabu wala kuteseka kutafuta Ajira, niliamini kuna mahali nikiend tu nitapata kazi mara moja na ndicho kilicho tokea nilimaliza diplm yang mwenz wa 7/2016 na kaz nikapat mwenz wa 11/2016. Imani na udhubutu hivi vitu viwili vinakazi kubwa sana ktk maisha yetu na ktk ubongo wetu Amini utaenda Uko nje kusoma amini utafanikiwa hapo baadae.
 
Back
Top Bottom