blogger JF-Expert Member Mar 13, 2012 10,456 12,605 Dec 2, 2019 #21 manengelo said: Hujaiskia SHIMHA! Ile ni zaidi ya akifo mkuu kanda ya ziwa imeradadi balaa..nadhan mmiliki wake ni milionea nw! Click to expand... Pombe zote hizi ni Gongo.. Tena ni zaidi ya Gongo.
manengelo said: Hujaiskia SHIMHA! Ile ni zaidi ya akifo mkuu kanda ya ziwa imeradadi balaa..nadhan mmiliki wake ni milionea nw! Click to expand... Pombe zote hizi ni Gongo.. Tena ni zaidi ya Gongo.
Klay King Senior Member Apr 3, 2019 148 277 Dec 2, 2019 #22 Burudani ni wine mkuu haina shida Double kick Azura Kitoko Diamond Hizi ukipiga vichupa vinne lazima upelekwe nyumbani mtu chake said: kitoko Shujaa Double kick Burudani Hizi pombe balaa Click to expand...
Burudani ni wine mkuu haina shida Double kick Azura Kitoko Diamond Hizi ukipiga vichupa vinne lazima upelekwe nyumbani mtu chake said: kitoko Shujaa Double kick Burudani Hizi pombe balaa Click to expand...
Tresor Mandala JF-Expert Member Aug 20, 2010 37,577 78,896 Dec 2, 2019 #23 Klay King said: Burudani ni wine mkuu haina shida Double kick Azura Kitoko Diamond Hizi ukipiga vichupa vinne lazima upelekwe nyumbani Click to expand... Kuna mzigo unaitwa Rivella nayo balaa
Klay King said: Burudani ni wine mkuu haina shida Double kick Azura Kitoko Diamond Hizi ukipiga vichupa vinne lazima upelekwe nyumbani Click to expand... Kuna mzigo unaitwa Rivella nayo balaa
Klay King Senior Member Apr 3, 2019 148 277 Dec 2, 2019 #24 Nishagonga ile nayo ni motoo mtu chake said: Kuna mzigo unaitwa Rivella nayo balaa Click to expand...
Nishagonga ile nayo ni motoo mtu chake said: Kuna mzigo unaitwa Rivella nayo balaa Click to expand...
mwekwa ntandu JF-Expert Member Aug 24, 2019 944 2,191 Dec 4, 2019 #25 Sandiego said: SHIMHA NA VLADIMIR kwa Kanda pendwa ni hatari mkuu!! Click to expand... Duu kumbe nishakuwa mlevi sugu afu sijijui yaani SHIMHA hii ninayokunywa chupa 3 na ninatembea vizuri na mtu hanishtukii kama nimekunywa leo inawekwa kwenye kundi moja na pombe hatari!!!!!????
Sandiego said: SHIMHA NA VLADIMIR kwa Kanda pendwa ni hatari mkuu!! Click to expand... Duu kumbe nishakuwa mlevi sugu afu sijijui yaani SHIMHA hii ninayokunywa chupa 3 na ninatembea vizuri na mtu hanishtukii kama nimekunywa leo inawekwa kwenye kundi moja na pombe hatari!!!!!????
D DadiMkaliWao Senior Member Apr 22, 2019 196 338 Aug 6, 2020 #26 kamituga said: Kwan? Ni lazima unywe? Faida yake!!!! Click to expand... Ni ibada. Hakuna tambiko bila pombe.
kamituga said: Kwan? Ni lazima unywe? Faida yake!!!! Click to expand... Ni ibada. Hakuna tambiko bila pombe.
Mkogoti TAPELI Mkubwa May 3, 2020 2,416 3,911 Aug 6, 2020 #27 Sandiego said: SHIMHA NA VLADIMIR kwa Kanda pendwa ni hatari mkuu!! Click to expand... Mkuu ni SHIMHA AU SHIMWAA maana mimi huku naziona zile za Shimwaa buku mbili tu kachupa kakopo ka plastic
Sandiego said: SHIMHA NA VLADIMIR kwa Kanda pendwa ni hatari mkuu!! Click to expand... Mkuu ni SHIMHA AU SHIMWAA maana mimi huku naziona zile za Shimwaa buku mbili tu kachupa kakopo ka plastic
D DadiMkaliWao Senior Member Apr 22, 2019 196 338 Aug 13, 2020 #28 Ukianza kunywa pombe za kwenye plastiki ujue ushapoteza ramani ya maisha.