blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 10,439
- 12,596
Pombe zote hizi ni Gongo.. Tena ni zaidi ya Gongo.Hujaiskia SHIMHA! Ile ni zaidi ya akifo mkuu kanda ya ziwa imeradadi balaa..nadhan mmiliki wake ni milionea nw!
Pombe zote hizi ni Gongo.. Tena ni zaidi ya Gongo.Hujaiskia SHIMHA! Ile ni zaidi ya akifo mkuu kanda ya ziwa imeradadi balaa..nadhan mmiliki wake ni milionea nw!
kitoko
Shujaa
Double kick
Burudani
Hizi pombe balaa
Kuna mzigo unaitwa Rivella nayo balaaBurudani ni wine mkuu haina shida
Double kick
Azura
Kitoko
Diamond
Hizi ukipiga vichupa vinne lazima upelekwe nyumbani
Kuna mzigo unaitwa Rivella nayo balaa
Duu kumbe nishakuwa mlevi sugu afu sijijui yaani SHIMHA hii ninayokunywa chupa 3 na ninatembea vizuri na mtu hanishtukii kama nimekunywa leo inawekwa kwenye kundi moja na pombe hatari!!!!!????SHIMHA NA VLADIMIR kwa Kanda pendwa ni hatari mkuu!!
Kwan? Ni lazima unywe? Faida yake!!!!
Mkuu ni SHIMHA AU SHIMWAA maana mimi huku naziona zile za Shimwaa buku mbili tu kachupa kakopo ka plasticSHIMHA NA VLADIMIR kwa Kanda pendwa ni hatari mkuu!!