Kuhusu kunyanyaswa na "mfumo Kristo"

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,341
13,021
Habari wana bodi

Leo ningependa tujadiri swala la uchaguzi wa marudio wa huko Zanzibar na ukiunganisha na malalamiko ya kila siku ya ndugu zetu kuwa wananyanyaswa na "mfumo Kristo"

Ukiangalia, ni kweli kabisa huu uchaguzi umejawa na figisufigisu nyingi sana na mambo yasiyo haki yametendeka na yanaenda kutendeka.

Kuanzia kufuta ule uchaguzi wa October 2015 ambao Jecha aliufuta. Je, Jecha sio ndugu yenu kiimani? Sasa kwa nini anawafanyia nyie ndugu zake mambo yasiyo sawa? Au yeye hajui mafundisho ya dini yenu yanasemaje? Au yeye hajui hadhabu ya siku ya kiama?

Tukija kwa Rais Mohammed Shein, je na yeye hajui kama nyie ni ndugu moja kiimani na anatakiwa kuwajali nyie ndugu zake? Ona sasa amewaletea ma elfu ya polisi na vifaru vya kivita ili "kuwalinda", je mmemwambia mnahitaji huo ulinzi?

Mmejawa na unafiki na hamna tofauti na wale ndugu zenu wa middle east wanaochinjana wao kwa wao kila kukicha.

Isitoshe kila siku mkiamka mnalalamikia upande wa Pili kuwa una wanyanyasa. Ingependeza kama mngeanza kupata akili sasa na kujua adui yenu mkubwa ni nyie wenyewe .
 
suala la zbarrr halina uhusiano na dini sasa ww chawa mchochezi mkubwa ndezi ww ndo unaleta mavi yako hapa jukwaan
Wao si ndugu moja, sasa kwa nini wanashindwa kupendana wenyewe kwa wenyewe?
 
Kuna vitu huwa havijengi wala kupata sifa kwa muanzilishi. Kama una familia na wanapokea mafunzo yako basi ndani yake kuna walakini mkubwa
 
Kibaya zaidi kuna wengine imani zao zikiguswa huwa wanakuwa na jazba zisizo na maana. Sasa jazba zikikutana na mwendawazimu inakuwa matatizo. Lakini laiti kama post za kipuuzi na kidini kama hzi zingepuuzwa udini ungekoma humu.
 
Back
Top Bottom