Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,198
- 3,599
Sisi wananchi tunataka kura za maoni zipigwe mapema ili JPM aongezewe vipindi viwili vingine kuanzia 2025 hadi 2035.
Hivi mtaacha lini kuwa walemavu wa akili?hivi waliotangulia wangeamua kufanya hayo unayoyataka huyo Magufuli ungemfahamu? hivi ni kweli baada ya Magufuli hakuna mtanzania mwingine wa kuiongoza Tanzania? Ni mlemavu wa akili pekee anayeweza kuwaza haya. Ni hatari kuishi na kuamini kwamba Magufuli yupo juu ya Tanzania yetu iliyojengwa kwa gharama kubwa na wazee wetu.
We ni mpumbavu wa wapumbavuWadau tumeshuhudia nchi jirani kama Rwanda wakifanya utaratibu wa kupiga kura ya maoni kwa lengo lakuongeza kipindi cha kukaa madarakani kwa Rais wa Rwanda. Naamini waliofanya hivyo walitumia haki yao ya kidemokrasia na hasa baada ya kuridhishwa na utendaji kazi mzuri wa Kiongozi wao mpendwa Mhesh. Paul Kagame. Kwa kuzingatia sababu hizo kwanini Tanzania tusiige mfano wa jirani zetu ili kumuwezesha Kiongozi wetu mpendwa kupata muda wa kutosha kutuletea maendeleo nchi yetu na kutuondoa kwenye umaskini? Nawasilisha