Kuhusu ku TOPUP bank loan

Kuhusu ku TOPUP bank loan

dorge

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
235
Reaction score
365
Hapo awali kabla ya mfumo wa ess kwa wale watumishi ilikiwa rahisi.

Tuliweza kutopup hata baada ya miez sita.

Niulize wadau mlioko benki. Huko kuna mabadiliko gani. Kwa nini TOPUP inakuwa ngumu hata baada ya miezi tisa mwaka?
 
Att.
NMB
CRDB
BOA bank 🏦
 
Subiri mkopo uishe ukope tena, you will enjoy
 
Back
Top Bottom