Kuhusu kodi ya sim card

Kuhusu kodi ya sim card

Geeky

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
307
Reaction score
181
Nimejaribu ku connect dots nikakumbuka statistics alizotoa wakili Mabere Marando alipokutana na waandishi wa habari kuhusiana na kesi ya Rwakatare aligusia pia suala la makampuni ya simu Kenya kulipa $ 17m, Rwanda $7m and tz < $1m.

Sikuamini bt kuna sababu kuamini sasa kwamba makampuni ya simu hapa Tz yana lobbying system ya nguvu sana kwani suala la simcard lilipita kwa nguvu zote bungeni.

Kinachofanyika ni kuendeleza misamaha ya kodi huku mzigo huo akibebeshwa mwananchi. So japo kodi zinazotokana na makampuni ya simu zitaongezeka haitamaanisha zinalipwa na kampuni hizo bali mlala hoi.

Lakini vyovyote vile itakavyokua hakatwi mtu hapa.

---kuweka kumbukumbu sahii
Kenya wanakusanya $79m
Rwanda $16m
Tz < $ 1m

Last edited by a moderator:
Nimejaribu ku connect dots nikakumbuka statistics alizotoa wakili mabere marando alipokutana na waandishi wa habari kuhusiana na kesi ya rwakatare aligusia pia suala la makampuni ya simu Kenya kulipa $ 17m, Rwanda $7m and tz < $1m. Sikuamini bt kuna sababu kuamini sasa kwamba makampuni ya simu hapa tz yana lobbying system ya nguvu sana kwani suala la simcard lilipita kwa nguvu zote bungeni. Kinachofanyika ni kuendeleza misamaa ya kodi huku mzigo huo akibebeshwa mwananchi. So japo kodi zinazotokana na makampuni ya simu zitaongezeka haitamaanisha zinalipwa na kampuni hizo bali mlala hoi.
Lakini vyovyote vile itakavyokua hakatwi mtu hapa
Kwanza haya makampuni ni ya vigogo.Mfano mwanzoni vodacom mwenyekiti wa bodi alikuwa Msekwa na mmiliki Rostam Azizi.Kwamfano huo hizi pesa tutakazo katwa zitafika kwa walengwa? Makampuni haya yameidhoofisha TTCL.Mswada wa bunge kupitisha hoja hii iliungwa mkono na wabunge wa CCm kwa kula zao za ndio,wingi wao unatuletea majanga. Kama hata wapinzani wangegoma haisaidii manake ni wachache aidha JK alisema anataka kutengua sheria hiyo lakini wakuu wa taasisi hizo wamweleze mbadala wa kupata fedha hizo(kodi) kwa sababu tayari zimeingizwa kwenye bajeti ya nchi.Inawezekana tukalaumu ngazi za juu lkn hata walioaznza mchakato wa maandalizi nao walaaniwe.Jaribu kubuni vyanzo vingine km kila nyumba iliyojengwa tz hasa dsm bila kujali imepewa kiwanja cha kupimwa au iko mabondeni ichangie mia tano kwa mwezi nk
 
tatizo ni kuwa wabongo tunajifanya kuyabana makampuni kama ya simu na madini lakini hatujui tuanzie wapi.....makampuni ya simu ukiongeza kodi wenyewe wanapandisha tarriffs kwahiyo inakuwa hakuna kilichofanyika....mfano tigo tarriff zimepanda toka sh 1.94 per sec hadi approximately sh 5 per sec sasa hapo tumeyaweza makampuni au yanatutafuna wenyewe??
 
Dawa ni kwa hii Serikali ya FastJet kubana matumizi yake,Rais apunguze kuzulula,Mishahara ya Viongozi na Maofisa wa Serikali,Taasisi na Mashirika ya Umma iangaliwe upya tena iendane na utendaji wa mhusika kupitia Performance Appraisal System.Semina zisizo na tija nazo ziondolowe pamoja na mianya ya Ufisadi katika ngazi zote za Serikali ibanwe vilivyo.Mwisho Serikali ianze kuzibana sekta za Madini na Utalii wakifanya haya Serikali haitakuwa na sababu tena ya kukimbizana na Walalahoi kulipa kodi za kipuuzi kama hii ya laini ya Simu.
 
Serikali yenye misingi ya rushwa huwezi kushindana nayo labda GAZETI LA MWANANCHI ndilo ilitoa suluhisho ya kuwang`oa madarakani.
 
tumieni akili kufikiri,kampuni ya simu ikilipa kodi hiyo pesa inatoka kwa nani kama sio wewe mteja. Jamaa zenu walipotaja figure za malipo ya kodi Ruanda na Kenya mkaanza kuilaumu serikali haikusanyi kodi,sasa inakusanya mnalia. ni upumbavu umewazidi. kama mleta mada anamquote Marando huyu mpiga debe tu za siasa,taaluma yake ni wakili sasa yeye na uchumi wapi kwa wapi? na ndio maana amepolitic hizo figure bila kufanya utafiti. mkiambiwa andamaneni hao kama maguruwe yaliyofunguliwa zizini,mkiambiwa Ruanda wanakusanya kodi billion kadhaa kutoka makampuni ya simu hamjiulizi fedha wanayolipa makampuni hayo ni zao au anatozwa mtumiaji? mnapiga kelele ppppppp ppppppp sasa cha moto mnakiona,umelipika sasa ulinywe hata kama chungu
 
wewe mgagagigikoko usitukumbushe ttcl,kama ulizaliwa karibuni uliza stori ya ttcl,huduma za simu ilikuwa kwa wenye pesa tu. nachukia hata kusikia hilo jina la ttcl
Kwanza haya makampuni ni
ya vigogo.Mfano mwanzoni vodacom mwenyekiti wa bodi alikuwa Msekwa na
mmiliki Rostam Azizi.Kwamfano huo hizi pesa tutakazo katwa zitafika kwa
walengwa? Makampuni haya yameidhoofisha TTCL.Mswada wa bunge kupitisha
hoja hii iliungwa mkono na wabunge wa CCm kwa kula zao za ndio,wingi wao
unatuletea majanga. Kama hata wapinzani wangegoma haisaidii manake ni
wachache aidha JK alisema anataka kutengua sheria hiyo lakini wakuu wa
taasisi hizo wamweleze mbadala wa kupata fedha hizo(kodi) kwa sababu
tayari zimeingizwa kwenye bajeti ya nchi.Inawezekana tukalaumu ngazi za
juu lkn hata walioaznza mchakato wa maandalizi nao walaaniwe.Jaribu
kubuni vyanzo vingine km kila nyumba iliyojengwa tz hasa dsm bila kujali
imepewa kiwanja cha kupimwa au iko mabondeni ichangie mia tano kwa
mwezi nk
 
Nimejaribu ku connect dots nikakumbuka statistics alizotoa wakili Mabere Marando alipokutana na waandishi wa habari kuhusiana na kesi ya Rwakatare aligusia pia suala la makampuni ya simu Kenya kulipa $ 17m, Rwanda $7m and tz < $1m.

Sikuamini bt kuna sababu kuamini sasa kwamba makampuni ya simu hapa Tz yana lobbying system ya nguvu sana kwani suala la simcard lilipita kwa nguvu zote bungeni.

Kinachofanyika ni kuendeleza misamaha ya kodi huku mzigo huo akibebeshwa mwananchi. So japo kodi zinazotokana na makampuni ya simu zitaongezeka haitamaanisha zinalipwa na kampuni hizo bali mlala hoi.

Lakini vyovyote vile itakavyokua hakatwi mtu hapa.

Hebu nimegee siri utakwepaje hapo, maana umesisitiza hukatwi ng'oo..
 
Nchi ya kusadikika hii! Inajengwa na wenye moyo lakini inaliwa na wenye meno maCC....!
 
Ndugu zangu ili mjue mfa maji heshi kutapatapa angalia serikali hii ya CCM inavyotapatapa. labla tujiulize kwa makini. inaingia akilini kweli kumwongezea mzigo mwananchi kulipia laini za simu wakati mtanzania sasa hivi anakula mlo moja kwa siku. Mwananchi huyuhuyu analipia kusomesha watoto aliopewa na M ungu wake. mwananchi huyu matibabu yanamhusu yeye. Kila gharama yoyote ya maisha inamhusu yeye. Nchi yetu ina rasilimali ngapi? Jamani maliasili, madini, na vinginevyo vingi tu serikali haikuona vinaweza kumwondolea mwananchi mzigo wa maisha. Iko misamaha ya kodi kwa wawekezaji ambayo hatuelewi misamaha hiyo ni kwa faida ya nani. Kuna mabilioni ya dola za kimarekani Uswis yamewekwa huko serikali inashindwa kutoa taarifa kwa uma kuwa mabilioni hayo ni ya nani mpaka leo serikali hii imekaa kimya.. Kweli bila aibu you suggest kuwatoza wananchi kulipia laini za simu ambazo wengi wao wanashindwa hatakuzinunulia vocha mpaka aombe kuwekewa na mwenzake.This is very shame. Serikali imeacha mabilioni ya dola za kimarekani Uswis mpaka wanatushangaa huku wananchi wengi wakikimbia nyumba zao kwa kudaiwa pesa za riba.Serikali yetu ya CCM haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania? Madini yetu yanapelekwa nje mpaka udongo.Gesi yetu pia utata mtupu. Wanyama wanapelekwa live nje tena kama zawadi leo unaweka kwenye bajeti ya serikali kumtoza kodi ya laini ya simu mwananchi ambaye hana kitu kisa ana simu aliotumiwa na mwanae kwa ajili ya mawasiliano.Frankly speaking this is very shame. Tanzania tutaiambia dunia kitu gani juu ya hili linalotendwa na serikali hii kwa jamii masikini wakati nchi ina utajiri mkuu namna huu? Naogopa hata kusema mengi hapa maana nitaamsha hasira kwa masikini wenzangu. bado unyonyaji uliokataliwa na azimio la arusha upo tena wa kukithiri.Lakini hakuna mwanzo au mwisho udumuo kila kitu kinapita juu ya uso wa nchi. Ila kuleni msisahau kuwa kesho pia kuna kula.
 
tumieni akili kufikiri,kampuni ya simu ikilipa kodi hiyo pesa inatoka kwa nani kama sio wewe mteja. Jamaa zenu walipotaja figure za malipo ya kodi Ruanda na Kenya mkaanza kuilaumu serikali haikusanyi kodi,sasa inakusanya mnalia. ni upumbavu umewazidi. kama mleta mada anamquote Marando huyu mpiga debe tu za siasa,taaluma yake ni wakili sasa yeye na uchumi wapi kwa wapi? na ndio maana amepolitic hizo figure bila kufanya utafiti. mkiambiwa andamaneni hao kama maguruwe yaliyofunguliwa zizini,mkiambiwa Ruanda wanakusanya kodi billion kadhaa kutoka makampuni ya simu hamjiulizi fedha wanayolipa makampuni hayo ni zao au anatozwa mtumiaji? mnapiga kelele ppppppp ppppppp sasa cha moto mnakiona,umelipika sasa ulinywe hata kama chungu

Kuna tofauti kati ya kodi ninayolipa kama raia na kodi inayolipwa kutokana na faida ya makapmuni. Makampuni ya migodi na simu ni vinara wa kukwepa kodi and guess what someone has to pay for it, that's you and me.
 
Back
Top Bottom