Kuhusu kitovu cha mtoto mchanga wa kiume

salim85

Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
89
Reaction score
146
Habari wa jf natumai muwazima wa afya tele huwa sikosi kuingia jf pindi niwapo free napenda ksoma mijadala mbalimbali inayowasilishwa humu pia kusoma maoni ya memba ila ni mara chache sana kuwasilisha mada au kukomenti.

Mada yangu ni kuwa nimeshuhudia mara mbili wife alivyojifungua watoto wetu wawili wa kiume huwa kile kitovu huwa wanakifunga kamba ili wakati wakukatika kisiangukie kwenye uume, kwa madai kama ikitokea kimekatika na kuangukia kwenye uume basi kichanga kile kuanzia uchanga wake hadi uzeeni hatoweza kusimamisha uume wake daima.

Na tiba pekee ili aweze kusimamisha uume wake wakati wa ukubwa wake ni kuzini na mama yake mzazi, naomba kwenye kufanya zaidi kuhusu jambo hili.
 
Mshana Jr msahada unahitajika hapa
Tumeshalijadili sana hili hapa lakini tukashindwa kutoka na jibu la hakika kwasababu ya kukosa proof! Japo kuna mmoja alitushuhudia kuwa ni kweli na yeye ndio alikuwa mhanga na sasa amepona! Je shuhuda yake ilikuwa halisi? Sote hatukuwa na hakika
 
Swali?
Je katika uzao wa hao watoto wako kuna ambaye kitovu kimedondokea kwenye uume?

NB: Wahenga wanasema ya kale ni dhahabu na usiache mbachao kwa msala upitao!

Hili swala limezungumzwa sana nyakati hizo wakati tukikua na ilikua ni siri kubwa baina ya mkunga na mzazi(mama) na ikasemekana ikitokea hivyo basi mtoto angali akiwa bado mdogo huwa analazwa katikati ya mapaja ya mama yake yani anagusanishwa uchi wake na mwanae ili kumnsuru mtoto na hiyo hali ya kujakuwa shoga ukubwani lakini sio kuwa mtoto kufanya mapenzi na mama yako ukiwa mkubwa
 
Huo ndio ukweli mkuu lkn tiba yake iko hivi ikiwa imetokea kimekatika kikaangukia mashine mama mtu atachukua dudu ya mtoto na kulengesha huko kijijini kwake [ukeni] au ikitokea kajisahau mtoto akawa mkubwamkubwa kias cha kutambua jema na baya bas mama ataingia chumban kwake na kuvua nguo zote akibaki uchi atamwita yule dogo kwa jna lake alfu kitendo cha dogo kumuona mama akiwa uchi atastuka na kuhamaki ndio anakuwa kapona hivyo ; ni sawa na mtoto kuanza kuota meno ya juu kabla ya chini hayajaota haitakiwi kabisa balaa lake mbelen ni zito zaidi
 
Hapo mstari wa mwisho hebu nielezee kidogo
 
Yaani iko hivi mtoto akianza kuota meno ya juu kabla ya chini hayajaota alafu akaachwa tu hvyohvyo basi kama ni wakiume itakuwa kila akioa mke hachukui muda ana RIP na kama ni wa kike akja kuolewa nae ni hvyo hvyo mme hachukui muda ana RIP hivyo inatakiwa hatua za mapema sana kuyarudisha hayo meno ili yaje ya chini kama kawaida
 
Tumeshalijadili sana hili hapa lakini tukashindwa kutoka na jibu la hakika kwasababu ya kukosa proof! Japo kuna mmoja alitushuhudia kuwa ni kweli na yeye ndio alikuwa mhanga na sasa amepona! Je shuhuda yake ilikuwa halisi? Sote hatukuwa na hakika
Nasikia kitovu kikiangua mashine hasimami hadi ule ulipotokea.
 
Huo ndio ukweli mkuu lkn tiba yake iko hivi ikiwa imetokea kimekatika kikaangukia mashine mama mtu atachukua dudu ya mtoto na kulengesha huko kijijini kwake [ukeni] au ikitokea kajisahau mtoto akawa mkubwamkubwa kias cha kutambua jema na baya bas mama ataingia chumban kwake na kuvua nguo zote akibaki uchi atamwita yule dogo kwa jna lake alfu kitendo cha dogo kumuona mama akiwa uchi atastuka na kuhamaki ndio anakuwa kapona hivyo ; ni sawa na mtoto kuanza kuota meno ya juu kabla ya chini hayajaota haitakiwi kabisa balaa lake mbelen ni zito zaidi
Balaa gani hotokea yakianza meno ya juu
 
Yaani iko hivi mtoto akianza kuota meno ya juu kabla ya chini hayajaota alafu akaachwa tu hvyohvyo basi kama ni wakiume itakuwa kila akioa mke hachukui muda ana RIP na kama ni wa kike akja kuolewa nae ni hvyo hvyo mme hachukui muda ana RIP hivyo inatakiwa hatua za mapema sana kuyarudisha hayo meno ili yaje ya chini kama kawaida
Sasa unayarudisha vipi meno mzee wakati yashaota

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Yaani iko hivi mtoto akianza kuota meno ya juu kabla ya chini hayajaota alafu akaachwa tu hvyohvyo basi kama ni wakiume itakuwa kila akioa mke hachukui muda ana RIP na kama ni wa kike akja kuolewa nae ni hvyo hvyo mme hachukui muda ana RIP hivyo inatakiwa hatua za mapema sana kuyarudisha hayo meno ili yaje ya chini kama kawaida
Watu mna imani jamani dah😀
 
Back
Top Bottom