Kuhusu JKT reserve

Kuhusu JKT reserve

bukuku tz

Member
Joined
Jul 11, 2019
Posts
17
Reaction score
5
Je, kama upo kwenye reserve JKT na ikaonekana walio chaguliwa hakuna mwenye kasoro wote wapo sawa nilikua napenda kufahamu je" hapo ndio mwisho wa safari yangu?
 
Hahahahaa aisee unakufa mzee ,

Tafuta shule ufundishe kama bro ema
Je kama upo kwenye reserve Jkt na ikaonekana walio chaguliwa hakuna mwenye kasoro wote wapo sawa nilikua napenda kufahamu je" hapo ndio mwisho wa safari yangu?
 
Safari yako kwenda wapi?! Ukikosa kazi rudi JKT ukaendelee kujifunza uzalendo, ukiona hupati kazi ujue huja wa impess employers, ama urudi JKT au uende ukalime au ukafanye kazi za kujitolea kudhihirisha uzalendo wako.
 
Uliiomba kwa level gani ya elimu
 
Je kama upo kwenye reserve Jkt na ikaonekana walio chaguliwa hakuna mwenye kasoro wote wapo sawa nilikua napenda kufahamu je" hapo ndio mwisho wa safari yangu?
Unahisi akiba hutumika kabla ya matumizi ya awali ?Karoge ili first eleven waonekane na. Unfit
 
Safari yako kwenda wapi?! Ukikosa kazi rudi JKT ukaendelee kujifunza uzalendo, ukiona hupati kazi ujue huja wa impess employers, ama urudi JKT au uende ukalime au ukafanye kazi za kujitolea kudhihirisha uzalendo wako.
Haujanielewa! Naanish tupo kwenye usahili wa mwisho
 
Je kama upo kwenye reserve Jkt na ikaonekana walio chaguliwa hakuna mwenye kasoro wote wapo sawa nilikua napenda kufahamu je" hapo ndio mwisho wa safari yangu?
kwan mlikuwa na safari ya kwenda wapi?
 
Nipo kwenye hatua ya usahili,tumetoka ngazi ya mkoa now ni ngazi ya Jkt ule usahili wa mwisho ila mimi nipo kwenye kundi reserve! Ndio maana yangu ndugu
kwahiyo hapa unataka tukusaidieje?
kwann usiwaulize huko jkt?
 
Nipo kwenye hatua ya usahili,tumetoka ngazi ya mkoa now ni ngazi ya Jkt ule usahili wa mwisho ila mimi nipo kwenye kundi reserve! Ndio maana yangu ndugu
nimekuelewa Dogo,hapo wewe wa reserve ni kama substitution player kwenye soccer,akija kuonekana mtu kukosa au kupungukiwa vigezo (au any unfitiness) kwa yyt walioko kwny first eleven nyie mmoja wapo ndo ataingia kucover nafas itakayoachwa wazi,,,,,,marufuku kukata tamaa dogo,pambana hii mizigo muda mwingine ni zali maiki,pambana hadi mwisho dogo
 
Nakubali maiki jah bless🙏
 
Kama zali hakuna haja ya kupambana
 
Kama zali hakuna haja ya kupambana
hizi akili za panzi we nanga,ina maana hadi Leo hujui kuwa mtembea bure si sawa na mkaa bure???kwahyo likiwa ni zali ujifungie ndani na kulala tu litakukuta au siyo???acha upang'ang'a
 
Je, kama upo kwenye reserve JKT na ikaonekana walio chaguliwa hakuna mwenye kasoro wote wapo sawa nilikua napenda kufahamu je" hapo ndio mwisho wa safari yangu?
Muda unaoenda kupoteza huko kwa kupigishwa kwata si ni bora ukaanze kufyeka mashamba yenu kule kijijini ukalime karanga.
 
Back
Top Bottom