Mtumishi 19 Member Joined Feb 27, 2026 Posts 29 Reaction score 64 Mar 12, 2026 #1 Wakuu habari za mda huu. Hivi Benk zetu wameshindwa kabisa kubuni mfumo wa kutoa huduma kwa uharaka? Imagine leo nimeenda bank kwa ajili tu huduma za mkononi. Lakini unatumia almost masaa matatu kwa ajili ya huduma hii kweli?
Wakuu habari za mda huu. Hivi Benk zetu wameshindwa kabisa kubuni mfumo wa kutoa huduma kwa uharaka? Imagine leo nimeenda bank kwa ajili tu huduma za mkononi. Lakini unatumia almost masaa matatu kwa ajili ya huduma hii kweli?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,570 Reaction score 74,392 Mar 12, 2026 #2 Tanzania Ndiyo Hiyo Wenye Pesa Buku Jero Tuweke Kwenye Vibubu
Mtumishi 19 Member Joined Feb 27, 2026 Posts 29 Reaction score 64 Mar 12, 2026 Thread starter #3 Kennedy said: Tanzania Ndiyo Hiyo Wenye Pesa Buku Jero Tuweke Kwenye Vibubu Click to expand... Na kweli! Hawa ndo wanatulazimisha tuweke hela kwa vibubu
Kennedy said: Tanzania Ndiyo Hiyo Wenye Pesa Buku Jero Tuweke Kwenye Vibubu Click to expand... Na kweli! Hawa ndo wanatulazimisha tuweke hela kwa vibubu
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,049 Reaction score 9,667 Mar 14, 2026 #4 Mkuu itakuwa ni hizi local bank ndo umeenda na wewe sio premium customer Jaribu bank kubwa kubwa za nje kama Stanbic Standard chartered UBA Halafu uwe na dollar account
Mkuu itakuwa ni hizi local bank ndo umeenda na wewe sio premium customer Jaribu bank kubwa kubwa za nje kama Stanbic Standard chartered UBA Halafu uwe na dollar account
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,928 Mar 15, 2026 #5 Pole sana... Cc: Mahondaw