Kuhusu Habibu Mchange


Nonsense
 
Hossam,naona MWAGA MBOGA NA MWAGA UGALI duh!Haya Nimeandika,PANGA.............
 
Mchange ni jiran yangu..akiwai kurud nymban ni saa 10 alfajir...sjui huwa anakuwa wapi
 
Mkuu mbona unajuwa mambo mengi machafu ya hawa jamaa? kama hushirikiani nao umeyajuwaje? au na wewe umedhulumiwa? Verify ID yako maana wenzako umewataja kwa majina halisi halafu ww unatumia fake ID. Weka wazi tuone uadilifu wako.
 
Hayo yanatoka wapi, pengine hujui kama wagombanao ndio waelewanao!
 
nimesoma hii post nikagundua ni yakise...e
najuta kupoteza muda wangu.

 
nimesoma hii post nikagundua ni yakise...e
najuta kupoteza muda wangu.

Kwa mara nyingine Naomba Zitto na Mchange waje live kukanusha yaliyo ongelewa. Nitaendelea na 10 up to 20, pigo la mwisho kwao. Kaka Mchande, meti wangu msalimie shemeji Zaria.
 
Kuhusu Mdogo wangu Mwigulu Lameki Nchema. Uzi unakuja soon
 
...Kitila kumbe ni mzmebe na mchoyo, kapiga vitoto vinne tu, kwa muda wote hadi anakuwa prof? inabidi akazane kutoa huduma kwa mabinti, loan board hawatoi kitu, bila walimu kuziba pengo la loan board watoto watakufa njaa.
 
.

inabidi utoe leo. Ile sheria ya kulinda watawala inaanza kesho.

Nitatoa hata keshokutwa kwa sababu kila kiltu ni ukweli. Zitto Zuberi Kabwe na Mchange wanajua ukweli, that is why they still silence.

Nakuja fact za Mwigulu, kwanza ajipange kuanzia Iliboru till Mabibo hostel alivyo vifanya plus Bilion 60 za machine za BVR. Sorry mdogo wangu najua hutalala kwa leo, utakua unatafakali sana juu ya litakalo tokea juu yako. Best wishe ma young Brother.
 
Ingekua jambo la afya zaidi ungesema iko chini ya nani!!

Chini ya dogo mmoja anaitwa costa hata mie namfahamu huyo dogo,ilikua chini ya tetere lakini kwa sasa haiko chini yake nahisi mkataba uliisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…