Hahahaha wewe hoja za zitto zimekuingia na unawashwa sasa. Jikune usione aibu. Leo ndo umekaa ukapanga hivyo? Wewe ni boya sana. Mchange ni mmeo? Kitila nae mmeo mbona unamjua zaidi ya mkewe? Si useme tu kama alitembea na wewe mbona hujitaji? Alafu ndo uulize kama ni muadilifu?
Mwandishi WA Uzi atakuwa ni wale mashudu waluotimuliwa cdm wengine wakaenda Ccm wengine wakaenda Act na kuna uwezekano ni kundi Moja na yule aliyeuza jimbo LA mbozi mashariki kwa ccm
Thanks, unajua Mchange aliwahi ugua nini, anaumwa nini na atakuja ugua nini kati ya 0-50 years old ?.
Naomba aje jibu hoja msije waharibia zaidi nilikua natoa somo wasijiite waadilifu, wazalendo ilihali ni mafisadi. Zitto nafsi yake inamsuta kwa mambo aliyoyafanya kwenye Mashirika ya uma, Pia Mchange kuhusu afya anajua,. Kwani Mchange ulivyo pata ajari kule Tabora na kama ungepata ulemavu wowote ule, ungeacha siasa katika maisha yako?. Kuhusu Afya ya mtu muambieni jamaa yenu maisha bado yanendelea, kila mtu hajui kesho ipoje. Hata hao CCM hawaongelei afya ya mtu.
Uzuri Viongozi wa Chadema mwaka huu wamekiri kuwa tuhuma zote ambazo huwa wanaziibua ni kwa ajili ya kuwachafua watu tu lakini huwa hawana uhakika nazi, sembuse itakuwa wewe mpambe wao.
Zitto in fisadi na Mchawi kupindukia anajulikana. Na kikao cha majuzi na ccm alipewa hela ili ACT igombee ili kugawa kura za upinzani. Na mwishoni atauza kura zake ccm. Hivyo basi kura nyingi za wizi zitafichwa ACT ili ACT aamue kujiunga na CCM ili kuongeza kura. Pole zake.
hapana , huyu ni yule aliyewadhulumu nauli wale makamanda wa mikoa ya kusini wakati wa vuguvugu la usaliti , hadi wakaja ufipa kuomba msaada , ila ana roho mbaya sana ! kuwadhulumu wenzake mil 7 tu ni ujasiri wa hatari sana !