peter chula
Senior Member
- Jun 8, 2013
- 123
- 68
Yaani nashindwa kuelewa wakuu wetu wanawabembelezea nn hao wakenya wakati Ges yetu hata bado hatujaifaidi vizuri gesi saizi zimepanda bei mtungi Mdogo 17000-23000 eti ushauri wangu gesi isiuzwe nje hasa kwa watu wanaotaka tuwabembeleze Bali ishuke bei ili kila mtanzania awe na uwezo wa kujaza na kuinunua na kuacha kutumia kuni na mkaa ili kurudisha uwoto wetu wa asili unaopotea baazi ya mikoa nchini kwetu, hii itafanya serikali ijipatie kipato na kuwapa huduma bora wananchi wake naomba kuwasilisha
Tena ningependekeza mtungi Mdogo uwe kununua 15000 na kujaza 10000 sababu gesi ipo ya kutosha ila pia ili babu yangu na bibi yangu wa kijijini wawe na uwezo wa kununu na kujaza hiyo gesi ndani kwanza nje baadae unajua hata swala la ajira inatakiwa serikali ijilidhishe kwanza kama kweli haiitaji vijana nguvu kazi katika kufanya shuguri mbalimbali za nchi yetu katika kila sekta kabla ya kuwapeleka nje wakati ndani wanchi wanateseka baadhi ya maeneo kama imejizilisha basi sasa ni ruksa kuwagawiya na majirani zetu. Kwani ni vigumu sana kumpa jirani chakula chote wakati na wewe unanjaa lazima hata jirani akushangae.
Naomba kuwasilisha