Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,207
- 3,604
Wadau Niko namfanyia application dogo TCU ye yuko jkt ila nikifikia hatua ya kuingiza namba ya advance naambiwa haipo kwny database na dogo anadai ana uhakika kuwa hiyo ni namba sahihi,kuna mwenye kujua tatizo ni nini?
Kumbuka Leo ndio deadline
Kumbuka Leo ndio deadline