Kuhusu erolink

Kuhusu erolink

Neysholi

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Habarini humu, kuna rafiki yangu alifanya interview na erolink ya nbc customer care alianza na written na akamalizia na oral alifanya mwezi wa kumi na mbili mwanzoni zen wakamwambia watampigia simu ni mwezi na zaidi umeipata kimya hadi leo je ndio basi imetoka hiyo au? anaulizia kama watu walishaitwa kuanza kazi, mwenye kujua pls naomba info.
 
Kuwa wazi tu...ww mwenyewe ndo ulifanya interview.... So umekaa kijiweni unasubiri bila matumaini!...kuwa na subira. Erolink wataita mwezi wa tatu mwishoni na kazi wataanza wa nne mwanzoni!
 
huo ndio ukweli nimeongea hata hivyo nashukuru sana kwa taarifa kijiwe kinachosha ndio unafikiri masikhara kukaa home
 
walishaanza kazi wenzio kama ni kati wale 17 walishaenda lindi, mtwara, babati na wengine HQ hapa Dar. we kama bado hadi leo count painfull mkuu. Sory 4u.
 
walishaanza kazi wenzio kama ni kati wale 17 walishaenda lindi, mtwara, babati na wengine HQ hapa Dar. we kama bado hadi leo count painfull mkuu. Sory 4u.

upo sahihi kabisa kaka kibagata...wale kama hawakuitaji hawakupigi cmu
 
vipi kuhusu post za customer care vodacom je waliofanya intervw wameitwa?
 
Back
Top Bottom