Kama ni kweli kwamba EQUIV QUALIFICATIONS hawajapewa mikopo basi hawajatendewa haki,vinginevyo tunashawishika kuamini kuwa upo mpango kabambe wa kuidisqualify hiyo sifa iwe haistahili kupata mkopo,mpango ambao unaonekana kufanikiwa,ni heri basi wangetangaza rasmi mapema watu wasingelijisumbua bure