Abdclassic Member Joined Jul 13, 2017 Posts 95 Reaction score 42 Sep 12, 2017 #1 Eti game LA dream leaguer linanipatiaje PSA..?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,391 Sep 12, 2017 #2 psa ndio pesa/hela? unaposema linanipatiaje unamaanisha kukuingizia kipato ch ukweli ukweli, yaani pesa halisi?
psa ndio pesa/hela? unaposema linanipatiaje unamaanisha kukuingizia kipato ch ukweli ukweli, yaani pesa halisi?
Abdclassic Member Joined Jul 13, 2017 Posts 95 Reaction score 42 Sep 12, 2017 Thread starter #3 YAni unavyoicheza unapatA coin. Je..? Unaweza kuzifanya ziwe pesa
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,391 Sep 12, 2017 #4 Abdclassic said: YAni unavyoicheza unapatA coin. Je..? Unaweza kuzifanya ziwe pesa Click to expand... huwezi mkuu, hizo zinabaki humo humo.
Abdclassic said: YAni unavyoicheza unapatA coin. Je..? Unaweza kuzifanya ziwe pesa Click to expand... huwezi mkuu, hizo zinabaki humo humo.
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,823 Reaction score 40,627 Sep 12, 2017 #5 Duuuh, asee. Kuna watu mnafikilia nje ya box eti.
Mchoraji Cyper255 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,781 Reaction score 6,142 Sep 14, 2017 #6 Litakupatia pesa kama utaanza kuwakodishia watoto wa mtaani wacheze kwa mia mbili (Tsh.200) kila Match.
Litakupatia pesa kama utaanza kuwakodishia watoto wa mtaani wacheze kwa mia mbili (Tsh.200) kila Match.
Bengazuu JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 1,029 Reaction score 1,238 Sep 14, 2017 #7 troublemaker said: Duuuh, asee. Kuna watu mnafikilia nje ya box eti. Click to expand... Wanaitwa wazee wa fursa [emoji23][emoji23][emoji23]
troublemaker said: Duuuh, asee. Kuna watu mnafikilia nje ya box eti. Click to expand... Wanaitwa wazee wa fursa [emoji23][emoji23][emoji23]