Kuhusu Daihatsu Terios

nickvalerion2810

Senior Member
Mar 31, 2015
112
36
Jamani wana JF nilikuwa naomba yeyote anielezee kuhusu hii gari Daihatsu terios..Je ina uzuri gani na ubaya gani....ninaomba mnishauri kabla sijaji commit kununua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom