Kuhusu Coca-cola na Pepsi Cola

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
798
Habari wana jamvi?
Mie naomba kuuliza kwa wanaojua..
Coca na Pepsi zinatumia ingredients which are more or less like the same interms of ingredients,sasa kwanini/nini kinasababisha zikawa na ladha tofauti?
Majibu wanajamvi.
 
Ni wavumbuzi wawili tafautia japo wote asili yao ni wafamasia huko marekani but kila mmoja kavumbua formula yake japo kuna kufana kwa ladha zao
 
Utafauti wa ladha unatokana na ladha yenyewe and as yu've said the two are more or less the same so that means THEY ARE NOT THE SAME meaning that kwa vile they are not the same tofauti lazima iwepo na tofauti yenyewe ni hiyo LADHA based on ingredients
 
Ingredient kubwa ni Cola Nuts ndio maana zote zina neno Cola. Ila formula ndio tofauti.
 
Kuna Tetesi mtaani kwamba Formula Hazijulikani for Years.. Na Je Hii ni kweli?
 
Back
Top Bottom