AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
samahani wandugu kwa wale wenye uelewa na kampuni ya beforward.jp, nimesikia ofisi zao zipo hapa dsm. hivi nikitaka kununua gari kupitia kampuni yao, natakiwa kwenda huko ofisini kwao kulipia pesa na kufanya arrangement zote au nafanyaje? na je, usalama wa gari kupitia kampuni yao ukoje ili nisipigwe pesa zangu. nitashukuru kwa wale watakaonishauri. thanks.
utalipia kwa kutumia bank yako
kabla ya kulipia nenda ofisi zao, hakiki account number
ukilipia wape copy ya TT
wataituma japan na utapata confirmation kuwa umelipia (kupitia email)
then you will proceed na emails communications
ndugu yangu hawa jamaa wako vizuri nenda ofini kwao ,kikubwa fanya chaguzi ya gari yako kisha una oda na kulipia kwa njia ya mtandao hakiki email adress yao na accaunt namba,samahani wandugu kwa wale wenye uelewa na kampuni ya beforward.jp, nimesikia ofisi zao zipo hapa dsm. hivi nikitaka kununua gari kupitia kampuni yao, natakiwa kwenda huko ofisini kwao kulipia pesa na kufanya arrangement zote au nafanyaje? na je, usalama wa gari kupitia kampuni yao ukoje ili nisipigwe pesa zangu. nitashukuru kwa wale watakaonishauri. thanks.
Nina uzoefu wa kuagiza magari through beforward. Ukitumia ofisi za dar kama agent wa kufanya clearing ueumia ndugu yangu. Ni PM kwa undani zaidi