Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
Beti Moja:
Panya hawakamatani, na pia hawatajani,
Ati nani kala nini, kala wapi na kwanini,
Panya daima makini, watajane kiwe nini?
Wanapokula ghalani, panya hula na yamini!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Beti Moja:
Panya hawakamatani, na pia hawatajani,
Ati nani kala nini, kala wapi na kwanini,
Panya daima makini, watajane kiwe nini?
Wanapokula ghalani, panya hula na yamini!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Beti Moja:
Panya hawakamatani, na pia hawatajani,
Ati nani kala nini, kala wapi na kwanini,
Panya daima makini, watajane kiwe nini?
Wanapokula ghalani, panya hula na yamini!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Hawa panya hatari sana, wanataka hata kumla paka
nilisikia tu habari za Mh. Chikawe kusema kuwa hakuna aliyehusika kwa Tanzania lakini sikuamini bali kama ameendelea kusisitiza, ni dhahiri kuna kitu kinakaribia kutokea kwa nchi hii na hawa watawala watajutia uongo wao.Linaongelewa sasa hivi bungeni. Myika anaibana serikali lakini Chikawe anaendelea kusisitiza hakuna ushahidi na mashahidi wa bAE na SFO hawawezi kupatikana. Anasema mtu yeyote mwenye ushahidi awe wa ndani au nje aupeleke immediately na uwe credible na serikali itashughulikia immediately.
Beti Moja:
Panya hawakamatani, na pia hawatajani,
Ati nani kala nini, kala wapi na kwanini,
Panya daima makini, watajane kiwe nini?
Wanapokula ghalani, panya hula na yamini!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
nilisikia tu habari za Mh. Chikawe kusema kuwa hakuna aliyehusika kwa Tanzania lakini sikuamini bali kama ameendelea kusisitiza, ni dhahiri kuna kitu kinakaribia kutokea kwa nchi hii na hawa watawala watajutia uongo wao.
Kwa maana mwanzoni labda hawakujua lakini walipoambiwa ukweli huo ni bora wangelikaa kimya kuliko kuukataa huku wakijua.
Wasisahau kuwa walikula viapo na hiyo inawabind hata na vizazi vyao vitakavyofuata!