rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 131
mkuu nimeenda bodi wamenambia penalty inakatwa kwenye registration fee yaani baada ya 25,000 nalipa 50000. na vile examination fee badala ya 100,000 nalipa 200000 subscription fee 35000 inabaki vile vile. na form fee inabaki vile vile 20000.Deadline ya Examination fee ni 15 Feb na 15 Aug for may and Nov respectively.
Kuanzia 16feb - 28 Feb na 16aug - 31 Aug ni penalty ya 50%.
Na hii penalty inahusisha examination fee tu ila form fee na subscription fee hakuna penalty.
Mfano: form fee ni 20,000 , subscription fee 50,000 na examination fee ni 100,000
Kwahiyo ukilipa kabla ya 15feb utalipa 170,000
Ukilipa kati ya 16feb na 28feb form fee itabaki 20,000 subscription fee itabaki 2
50,000 ila examination fee itakuwa 150,000 hivyo jumla itakuwa 220 000
Sent using Jamii Forums mobile app
Stay focused- naona sauti ya hiyo mdada ndio kigezo cha kuwaita ze best et?according to my research tuition best tuition providers in town ni cornerstone. nimewapigia simu amepokea dada mmoja mwenye sauti nzuri jumatatu naanza michakato
no sio sauti tu bali customer care services ni nzuri. nimekusanya na data nyingine mwisho wa siku nikajiridhisaha kwamba ndo the bestStay focused- naona sauti ya hiyo mdada ndio kigezo cha kuwaita ze best et?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huwezi soma mwenyewe nyumbani?according to my research tuition best tuition providers in town ni cornerstone. nimewapigia simu amepokea dada mmoja mwenye sauti nzuri jumatatu naanza michakato