Kuhusu asilimia 60 mimi nimeelewa hivi

Kuhusu asilimia 60 mimi nimeelewa hivi

Wafuasi wa Lisu ni mbumbumbu ajabu.

Yani unataka tz ipate faida zaidi ya Uganda mwenye mafuta
 
Ujenge refinery kwa mafuta yapi? Hayo mafuta ni ya Total. Sio ya UG wala TZ. Total kashayanunua.. kwa bongo hapa yanapita tu.
Nimekusoma, je Total yeye hawezi kutuuzia?Ili tukununua kwake tufanye refinery? Total anakopeleka haende kuyauza?
 
Inawezekana kutuuzia hayo mafuta ghafi. ila sasa kujenga refinery kwa TZ itawezekana? Refinery ni project inayochukua hela nyingi sana hivyo kuijenga na kuiendesha na bado tununue hayo mafuta ghafi kutoka Total na kuyasafisha ni biashara kichaa hiyo. Labda Total waamue wenyewe kujenga refinery hapo Tanga, then kuwe na ubia na GoT tupate mafuta kwa bei rahisi.
 
Kwa mantiki hiyo cruide oil inapita na mabomba zaidi ya kms 1100 kwani Nadi tusiyanunue then tufanye refinery Ili mafutayashuke Bei ? Kwa usemi wako tutaendelea kuagiza mafuta nje ya nchi kwa muda mrefu na gharama kubwa wakati chini ya ardhi ya tanzania mafuta yanapita kwenye mabomba kuelekea tanga tukisubiri kulipwa 60%? Kitakuwa kituko Cha mwaka. Ushauri wangu tupokee chetu 60% then tununue cruise oil yao tuifainye refinery Ili kupata faida Mara mbili . Tanzania tuamke
wazo zuri sana, walichukue kwani kuliko kusubiri meli ije na mafuta tungeenda Tanga tu kukinga
lkn siamini bei ya mafuta Uganda imeshuka eti kwa sababu wanatoa mafuta yao kupitia Total
Kampuni hilo litapiga bei ileile au zaidi
Tanzania kuna Makampuni binafsi yanaleta Mafuta na gas kutoka kwa mababu zao hapo Arabuni wakati Tanzania tuna visima vya SonGAS
naona sasa ni soko na hiyo 60 iende kwenye Reli na mauchaguazi (maoni yangu)
 
Hivi ninyi wafuasi wa Chadema huwa mnatumia akili kupambanua mambo? Uganda lazima wapate faida zaidi sababu wao ndio wanauza hayo mafuta ghafi,sisi tumechangamkia dili bomba lipite ili tupate mapato kwa bomba kupita nchini kwetu tu,bado mnaona kama tunanyonywa na sio mradi mzuri. Mnakera sana.
Haaa haaa na wanakera kweli aisee,wabishi kujifanya wanajua kila kitu.Ndio maana wanawatania jina fulani la wanyama wako serengeti wanajiendea tuuu
 
Chadema wanavichwa vigumu,hawawezi kukuelewa mleta mada.Hawa ni Nyumbu wa Ufipa.
 
Habari za wakati na wasaa huu ndugu zangu.

Wakuu gharama ya usafiri ya kupitisha pipa moja la mafuta kwenye bomba kutoka Uganda mpaka Tanga ni dola 12.25 Yaani hiyo ndio nauli yake.

Katika hiyo nauli sasa ambayo ni dola 12.25 Tanzania atapata asilimia 60 alafu uganda atapata asilimia 40 ya nauli.

Kwanini sisi tutapata gawio kubwa la nauli.

kwasababu kilometa nyingi za bomba zipo upande wa Tanzania hivyo gharama za uendeshaji zitakua nyingi zaidi upande wa Tanzania.

Lakini pia bomba linapita katika mikoa mingi na wilaya nyingi zaidi katika ardhi ya Tanzania hivyo risk nyingi zitakuwa upande wa Tanzania. Mfano wa risk zinaweza kuwa kupasuka kwa bomba au risk nyingine yoyote inayoweza kuathiri afya au maisha ya Watanzania na hata viumbe vyovyote vilivyopo kwenye ardhi yet.

Hivyo lazima Uganda wapate asilimia chache.

Gharama za kuuziana mafuta sisi hazituhusu ni za wao wenyewe wenye mali na wawawekazaji wao.

Uganda watauza pipa zao za mafuta sisi tunawasafirishia kwa bomba hivyo sisi wanatupa pesa ya usafiri.

Ndugu zangu nawaombeni sana tusiwe tunapinga kila linalo fanywa na serikali. Huu mradi unafaida kubwa sana kwa watanzania na vizazi vyetu vijavyo. Hiyo asilimia 60 tutakayo ipata ni pesa nyingi sana. Na bado kuna ajira hapo zitakazo patikana ni nyingi mnoo.

Bado pia huko mradi unakopita pia wafanyabiashara mbalimbali mfano wa vyakula, vinywaji, nyumba za kulala wageni wote watafaidika na huo mradi.

Hivyo ndivyo maisha yanavyokwenda duniani tuache Jamani kuwa wapinzani wa mambo muhimu na ya maendeleo. Tuache kukosoa kosoa mambo muhimu na ya maendeleo.

Bali tujikite kuingalia Tanzania ya kesho itakuwaje kwaajili ya vizazi vyetu vijavyo na tuache kupoteza muda wa kukosoa Rais wetu bali tujikite kwenye kuungana naye ili maono aliyo nayo yaweze kutimia. Mambo anayofanya Mh. Rais ni makubwa mno na anastahili pongezi kwakweli.

Mambo ya kujenga na kuimarisha miundo mbinu ndio mambo muhimu duniani hilo ndilo walilo lifanya China miaka ya nyuma ndio sababu uchumi wao unakimbia kwa kasi sana.

Miundombinu ya uhakika na imara inaharakisha maendeleo ya nchi. Naomba tumwaachie Rais wetu Magufuli hii nchi hakika nawambia tutafika mbali sana. Huyu Rais ana akili nyingi mnoo.

Kama kuna mtu anaweza kufanya rushwa na asikamatwe Tanzania ya leo naomba ajitokeze na ajaribu kufanya.

Kama kuna mtu yeyote anaweza kufanya ufisadi kwenye taasisi yeyote ya serikali katika Tanzania ya leo naomba ajitokeze na ajaribu tuone kama hata julikana.

Ametumia akili nyingi mno Mhe. Rais , anastahili pongezi nyingi mno.

Basi nichukue fursa hii ndugu zangu na watanzania wenzangu kumwombea kura Rais Magufuli. Mitano tena kwa Magufuli.
Pamoja na ufafanuzi mzuri wa kueleweka wa mgao wa nauli ya Mafuta atakayolipa mteja, ungeenda mbele zaidi kwa kuonyesha bei ya pipa likifika Tanga, bei ya crude duniani na kwa kuwa tuna TAZAMA Pipeline ungelinganisha nauli tunayolipwa na Zambia. Sina hakika sana lakini bei ya pipa moja sokoni si zaidi ya US$ 40, ebu lete gharama hizo tuone wateja wanunue wapi crude oil, Uganda au Middle East au Nigeria au Angola? Angalizo: Ufaransa, nyumbani kwa Total kampuni itakayojenga Bomba la Mafuta, ilikuwa nchi ya kwanza Ulaya kupiga marufuku magari yote yatakayotumia Mafuta ifikapo mwaka 2030, miaka 10 tu toka sasa. Magari yote yatakuwa ya umeme.
 
Habari za wakati na wasaa huu ndugu zangu.

Wakuu gharama ya usafiri ya kupitisha pipa moja la mafuta kwenye bomba kutoka Uganda mpaka Tanga ni dola 12.25 Yaani hiyo ndio nauli yake.

Katika hiyo nauli sasa ambayo ni dola 12.25 Tanzania atapata asilimia 60 alafu uganda atapata asilimia 40 ya nauli.

Kwanini sisi tutapata gawio kubwa la nauli.

kwasababu kilometa nyingi za bomba zipo upande wa Tanzania hivyo gharama za uendeshaji zitakua nyingi zaidi upande wa Tanzania.

Lakini pia bomba linapita katika mikoa mingi na wilaya nyingi zaidi katika ardhi ya Tanzania hivyo risk nyingi zitakuwa upande wa Tanzania. Mfano wa risk zinaweza kuwa kupasuka kwa bomba au risk nyingine yoyote inayoweza kuathiri afya au maisha ya Watanzania na hata viumbe vyovyote vilivyopo kwenye ardhi yet.

Hivyo lazima Uganda wapate asilimia chache.

Gharama za kuuziana mafuta sisi hazituhusu ni za wao wenyewe wenye mali na wawawekazaji wao.

Uganda watauza pipa zao za mafuta sisi tunawasafirishia kwa bomba hivyo sisi wanatupa pesa ya usafiri.

Ndugu zangu nawaombeni sana tusiwe tunapinga kila linalo fanywa na serikali. Huu mradi unafaida kubwa sana kwa watanzania na vizazi vyetu vijavyo. Hiyo asilimia 60 tutakayo ipata ni pesa nyingi sana. Na bado kuna ajira hapo zitakazo patikana ni nyingi mnoo.

Bado pia huko mradi unakopita pia wafanyabiashara mbalimbali mfano wa vyakula, vinywaji, nyumba za kulala wageni wote watafaidika na huo mradi.

Hivyo ndivyo maisha yanavyokwenda duniani tuache Jamani kuwa wapinzani wa mambo muhimu na ya maendeleo. Tuache kukosoa kosoa mambo muhimu na ya maendeleo.

Bali tujikite kuingalia Tanzania ya kesho itakuwaje kwaajili ya vizazi vyetu vijavyo na tuache kupoteza muda wa kukosoa Rais wetu bali tujikite kwenye kuungana naye ili maono aliyo nayo yaweze kutimia. Mambo anayofanya Mh. Rais ni makubwa mno na anastahili pongezi kwakweli.

Mambo ya kujenga na kuimarisha miundo mbinu ndio mambo muhimu duniani hilo ndilo walilo lifanya China miaka ya nyuma ndio sababu uchumi wao unakimbia kwa kasi sana.

Miundombinu ya uhakika na imara inaharakisha maendeleo ya nchi. Naomba tumwaachie Rais wetu Magufuli hii nchi hakika nawambia tutafika mbali sana. Huyu Rais ana akili nyingi mnoo.

Kama kuna mtu anaweza kufanya rushwa na asikamatwe Tanzania ya leo naomba ajitokeze na ajaribu kufanya.

Kama kuna mtu yeyote anaweza kufanya ufisadi kwenye taasisi yeyote ya serikali katika Tanzania ya leo naomba ajitokeze na ajaribu tuone kama hata julikana.

Ametumia akili nyingi mno Mhe. Rais , anastahili pongezi nyingi mno.

Basi nichukue fursa hii ndugu zangu na watanzania wenzangu kumwombea kura Rais Magufuli. Mitano tena kwa Magufuli.
Lakini nmeshangaa kusikia kuwa et baada ya miaka 25 tutapata faida ya trioni 6 tu huku Uganda wanaopata 40%wenyewe baada ya miaka 6 watapata trioni 18.
 
Kwahiyo basi sio faida bali ni mgawanyo wa nauli kulingana na umbali huku risk nyingi zikibaki Tanzania...in fact kwenye hili mganda anaweza kufaidika zaidi

Jr[emoji769]

Bro, acha ubishi kwenye kila kitu.
 
Back
Top Bottom