Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

Kwa maelezo haya ndugu huna cheti.
Huwez sema wanafunzi wote wana mawazo ya kingono kama wewe
Kina bashite wapo wengi,wanajifanya wao ndo wasomi haliyakuwa form four walipata fafafafafa.anachofikiria yeye kila mwanafunzi anayefail anawaza ngono tu kama ukoo wake.
 
Najaribu kufikira mtu wa PCB apate 85 and above! 75-84!
Kuna punga Moja humu linalopoka tu,kuwa wanafunzi hawasomi wanawaza ngono,anashindwa kujuà kuwa wanafunzi wa A-level asimilia 80 wanajua nini kilichowapeleka shule sio kama wale wa O-level.hapo bado hajawaza combination tata kama PCB.ambayo kwa viwango hivyo ni cream tu ndo wañaweza kuscore hizo marks.
 
.
This text has been copied and pasted out of context. Relate your idea to the Tanzania's University Qualification (UQF) Framework , National Technical Awards (NTA) framework, and National Examination Council of Tanzania (NECTA) framework and then re-argue your case.
 
Sijakuelewa. Ili hao vijana wafaulu inabidi MAGOLI YAPANULIWE ili wafunge kirahisi au WAPATE MAFUNZO STAHIKI ili wafunge magoli ya mbali.
 
Siku zote alama A na F huwa ni za wateule wachache hasa kwenye mazingira bora ya kusomea. Wengi hupata C na B. Yaani hiyo ni kawaida duniani kote isipokuwa shule za wenye vipaji ambako wengi hupata A hata ikianzia na alama 95%
 
Watoto wenyewe hawa kazi ni kukariri kutetema kama vile generator, wanatetema kama Trekta za SUMA JKT. Sijui kama ufaulu utaongezeka hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…