Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

Kwa maelezo haya ndugu huna cheti.
Huwez sema wanafunzi wote wana mawazo ya kingono kama wewe
Kina bashite wapo wengi,wanajifanya wao ndo wasomi haliyakuwa form four walipata fafafafafa.anachofikiria yeye kila mwanafunzi anayefail anawaza ngono tu kama ukoo wake.
 
Najaribu kufikira mtu wa PCB apate 85 and above! 75-84!
Kuna punga Moja humu linalopoka tu,kuwa wanafunzi hawasomi wanawaza ngono,anashindwa kujuà kuwa wanafunzi wa A-level asimilia 80 wanajua nini kilichowapeleka shule sio kama wale wa O-level.hapo bado hajawaza combination tata kama PCB.ambayo kwa viwango hivyo ni cream tu ndo wañaweza kuscore hizo marks.
 
Grading

A level examinations are graded on a scale of A* to E. Students that take the full A level in addition to the AS are awarded one grade for each subject, with the AS results being subsumed into the A level point score if not ‘cashed in’ as a terminal credential after the first year of study. For universities using the centralized Universities and Colleges Admissions Services (UCAS) process for admission, grades are also attributed Tariff Points (see below for an explanation of Tariff Points) as follows for each A level grade:

WENR_0214_feature-2.gif
.
This text has been copied and pasted out of context. Relate your idea to the Tanzania's University Qualification (UQF) Framework , National Technical Awards (NTA) framework, and National Examination Council of Tanzania (NECTA) framework and then re-argue your case.
 
Wao wabadilishe madaraja ya ufaulu yawe ambayo wanafunzi wengii wameyapata ili watanzania wapate elimu ya chuo vikuu tuwe Na wasomi wengi nchi yetu iendelee.Vyuo vikuu ni Ving sana kwa madaraja hayo vitakosa wanafunzi.Hata hivyo kuwa Na Elimu siyo kwamba ndio kigezo cha kufanikia kimaisha, mbona kuna watu wengi hawana elimu ya madarasa ya juu sana km high schools au vyuo vikuu lkn wana mafanikio makubwa kimaisha ? Na kwa miundombinu ya shule zetu za kiserikali, hayo madaraja ya ufaulu ni magumu wanafunzi kuyapata kwa hiyo ni vizuri warekebishe hili suala ili vijana wakapate Elimu ya chuo kikuu kwa manufaa ya taifa letu.Nchi hii ni tajiri sana, serikali ifanye kweli ktk hzo alama za ufaulu, ma x-form 6 wafaulu wawape mikopo wakapate Elimu ya chuo kikuu.
Sijakuelewa. Ili hao vijana wafaulu inabidi MAGOLI YAPANULIWE ili wafunge kirahisi au WAPATE MAFUNZO STAHIKI ili wafunge magoli ya mbali.
 
Kuna punga Moja humu linalopoka tu,kuwa wanafunzi hawasomi wanawaza ngono,anashindwa kujuà kuwa wanafunzi wa A-level asimilia 80 wanajua nini kilichowapeleka shule sio kama wale wa O-level.hapo bado hajawaza combination tata kama PCB.ambayo kwa viwango hivyo ni cream tu ndo wañaweza kuscore hizo marks.
Siku zote alama A na F huwa ni za wateule wachache hasa kwenye mazingira bora ya kusomea. Wengi hupata C na B. Yaani hiyo ni kawaida duniani kote isipokuwa shule za wenye vipaji ambako wengi hupata A hata ikianzia na alama 95%
 
Watoto wenyewe hawa kazi ni kukariri kutetema kama vile generator, wanatetema kama Trekta za SUMA JKT. Sijui kama ufaulu utaongezeka hapo
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom