Mi nahis baada ya Adam na Hawa kujua aibu zao na Mungu kuwapeleka maeneo tofaut hapa dunian na baada ya miaka kazaa ndo wakakutana na kuanzisha vizazi,baada ya hapa kunakitu kinaitwa geographical areas kutokana na separation ya vizaz na dunia kujigawa basi mazingira yaliwafanya watu watoautiane as a result huyu mweusi yule mweupe yule ana nywele ndefu huyu vipilipili na maumbile mengine,,nahis itakua geographical areas mkuu,,,ngoja tusubir wajuz wengine