Kuhonga si tatizo tena kwangu.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Hapo zamani nilikuwa nikishangaa sana kuona mwanaume anahonga hadi laki kwa mwanamke, au kumpangishia chumba au nyumba mwanamke, zangu ilikuwa sana sana elfu 10 tu au hakuna kitu, siku hizi alhamdulilah nikipata toto limejazia nyama, bambataa la haja, lenye shape ya kuchanganya mwanaume, kuhonga sioni shida tena.
 
kwanza nini maana ya kuhonga, pili wacha uzinzi
 

Hiyo alhamdulilah ndo kiasi gani sasa???
 
Heaven on earth, karibu sana.
 
Evelyn Salt, kipato kinaruhusu ndiyo maana yake.
 

Kwa hiyo unajisifia kuhonga?
 
UKISAHAU DUME TU , UMEISHA!!!!!!!!!!!!!!!!, harafu uweke na akiba ya kununua sanduku basi
 
Endelea kuhonga,ila ni vyema kama una Mke ungemuhonga Mkeo
 
miss strong, lait kama hiyo avatar ni yako, basi unaqualify kuhongwa na mimi.
 
miss strong, lait kama hiyo avatar ni yako, basi unaqualify kuhongwa na mimi.

Ulitaka kuihonga avatar????maana hiyo avatar ni yangu.....ingekuwa sio yangu ungeiona kwa mwengine!!!!!!!!!
Amsha popoooooooo
 
miss strong hebu nifundishe namna ya kukopi maelezo ya mcangiaji kama unavyofanya, bado mgeni, pia ni pm.
 
"Sharing is caring"
Honga tu mkuu, kan nini bana. Ila angalia nawe usije ukahongwa magonjwa tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…