Kuhonga na Kuhongwa

Kuhonga na Kuhongwa

fredito13

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
213
Reaction score
146
Wadau,

Najua kwa namna moja au nyingine tumewahi kuhonga na kuhongwa katika mapenzi! Ni kiasi gani kikubwa kabisa ulichowahi kumhonga mtu au kuhongwa?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mnhhhhh hii nayo ina umuhimu wa kuelezana hapa?
what next?

kuelezana howa your partner cry in bed?
 
kama hauna cha kupost si usome ya wenzako tu

(source Faiza foxy)
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Najua kwa namna moja au nyingine tumewahi kuhonga na kuhongwa katika mapenzi! Ni kiasi gani kikubwa kabisa ulichowahi kumhonga mtu au kuhongwa?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ili iweje?
 
haina kichwa wala miguu. siyo lazima sana uposti km huna cha msingi. tunapotezeana mb bure
 
kikubwa kabisa nilichowahi kuhongwa ni "true love".
 
Back
Top Bottom