Kuhitimisha application za bodi ya mikopo

Kuhitimisha application za bodi ya mikopo

hatedthemost

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
470
Reaction score
331
Habarini wana JF.
Nimemaliza kujaza fomu ya mkopo.
Baada ya kuandika application submitted successfully.
Is there anything else natakiwa kufanya
 
Habarini wana JF.
Nimemaliza kujaza fomu ya mkopo.
Baada ya kuandika application submitted successfully.
Is there anything else natakiwa kufanya
Mkuu nacreate account inaload muda mrefu bila mafanikio, shida ni nini? Walishanitumia control namba nikalipa
 
Back
Top Bottom