kinakukimbiza nn kwa wazazi wako au conjugal!
Hamaaaaaaa ufaidi maisha! Ukiolewa hapo hapo utazeekaje sasa? Utatoka jela 1 kwenda ingine! Akuuuuuuuuu! Kuwa na kwako kuna rahaa!
Tena anaesusa ni bi mkubwa wako uongo? Mwenyewe bi mkubwa wangu aligoma kabisaaa mimi kuhama mpaka tulipokubaliana mshahara wangu awe anauchukua yeye! Hapo swadaktaaaaaaa! Alikuwa anahisi nikiishi mwenyewe nitafujafuja mapesa na kumuongezea gharamaaa. Kumbe walaaaaa!
Habari wandugu
Nina matumaini mnaendelea vizuri na mchakato wa kulijenga Taifa sambamba na kujijenga maisha binafsi.... Lengo la thread hii ni kuwataka ushauri
Mimi ni msichana wa miaka 28... nilimaliza chuo kikuu mwaka 2011. Nilipomaliza tu, nilirudi nyumbani Moshi walipo wazazi wangu na kuanza maisha. Mungu alivyomkubwa nilipata kazi.... nimejitahidi kuboresha mazngra ya nyumbani na kumfungulia mzazi biashara. Mwaka huu nataka nianze maisha yangu, nipange nyumba lakini kikwazo kimekuwa mzazi mmoja hataki wakati mzazi mwingine hana shida. Na wana imani nami kwa 100% Nimejaribu kuongea nae amekuwa kama amesusa... je ndugu zangu naombeni ushauri... nifanyeje? Na nikiondoka kwa lazima kuna matatizo gani yatanikumba. Nishaurini mwenzenu
huyo lazima ni baba.......Habari wandugu

endelea kupoa home wewe, muda ukifika utaondoka bila kutaka, una bahati mwenzio, wewe wa kike ungekuwa wa kiume ungeamua kikatili uhame, usimsikilize lara 1 huyo ni kubwa la maadui, utapotea!
usihame dadangu n wait mpaka kuolewa mana stayin na wazazi unajifunza meng abt marriage lyf na pia unakua kama furaha yao mana wazaz wakiona watoto wao wanakua na furaha zaid,trst me kwa hlo mana m xperienc da sem lyf
kinakukimbiza nn kwa wazazi wako au conjugal!
hapo kwenye bold nafanya imagination how it was teh teh tehhuyo lazima ni baba.......
wanapenda sana kuona binti zao bado wanastahili kukaa nyumbani kwa wazazi hata kama wameota ndevu, lol!
sitaki kukumbuka kizaazaa cha baba alipoambiwa mchumba anakuja......
pole mwaya, mbembeleze tu mwisho ataelewa, usilazimishe
ha haaa, bora u-imagine tu..... ungenionea huruma....hapo kwenye bold nafanya imagination how it was teh teh teh