Kwani ukihama namba yako si inabakia vile vile na watu wako siwanaendelea kukupata kwa namba hiyo hiyo au kuna kuwa na mabadiliko ya namba ?Mi naona usumbufu tu,siwezi poteza mawasiliano na watu wangu wengi ikiwamo Wa nje ya nchi..kiss kuhama mtandao kwa mwezi mmoja
Sina hakika hasa lkn kama walisema za mwanzo zinachangeKwani ukihama namba yako si inabakia vile vile na watu wako siwanaendelea kukupata kwa namba hiyo hiyo au kuna kuwa na mabadiliko ya namba ?
Za mwanzo haziwezi badilika, wakifanya hivyo watasababisha mwingiliano wa namba maana wapo wenye kama yako ila code za mwanzo tofauti.Sina hakika hasa lkn kama walisema za mwanzo zinachange
kweli aisee lakin mlolongo mwingi ni usumbufu tu haina tijaInaelekea elimu juu ya hili swala bado
Namba haibadiliki inabaki ile ile sema process ya kuhama inachukua mudaSina hakika hasa lkn kama walisema za mwanzo zinachange
Process yake siyo rahis...Tumeambiwa ukiingia ukijisajili kwenye mtandao fulani huwezi hama mpaka zipite siku 90. Nafikiri nilivyolelewa namba hazibadiliki. Hakika baadhi ya makampuni makubwa yatapoteza wateja wengi.