Kuhama kituo cha kazi!

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,013
Reaction score
686
Habari za mida hii wakuu! Nna mdogo angu yupo tanga yy afanyakazi km mtendaji wa mtaa wa kata flani huko huko tanga! Anataka aondoke tanga ahamie DSM! Je kwa huko DSM anaweza kupata nafasi ya kazi km hiyo?yaani tutajua vipi km kuna nafasi ya kazi km hiyo? Na utaratibu uko vipi?
Naombeni msaada wenu tafadhali...asanteni
 
Mkulima achagui jembe
 
Hapo afate taratibu za uhamisho wa mtumishi wa umma.

Kuna uhamisho wa kuomba;
Kuna uhamisho wa kubadilishana.
 
Afanye tu utafiti binafsi ktk wilaya anayotaka kuhamia kama hiyo nafasi ya kada yake ipo wazi huko,akishahakikisha kuwa ipo wazi aandike barua kwa mwajiri wake wa sasa ya maombi ya uhamisho,akiipitisha tu,anaipeleka wilaya anayotaka kuhamia akikubaliwa fresh,taratibu zingine za kuhamisha details zake za kikazi mkoa kwa mkoa zitafuata,wengine wataongezea nilipopasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…