Asante ndugu yangu.Mzee Kuna kitu kinaitwa Inter-University Transfer yaani inawezekana kabisa wahi kwenye site ya TCU chaap
Asante KakaInawezekana
Kiviere Wa Usangi
Fungeni safari hadi chuo kikuu cha Dodoma kisha mkifika pale nendeni utawala mkuu ulizieni ofisi ya Director WA undergraduate then ukifika hapo eleza shida yako kuwa mdogo dogo alichaguliwa chuo Fulani ila tungependa ahamie udom. Utaulizwa sababu za kuhama na wataangalia kama hiyo kozi anayotaka kuhamia ina nafasi au LA ( kozi nyingi kwa udom zina nafasi isipokuwa kozi za afya tu). Kama INA nafasi utapewa form ya kujaza then atachagua abaki hapohapo aendelee na kitabu wakat akisubiri taratibu za usajili au arud huko alikochaguliwa asikilizie. Wakishatoa majibu rasmi kabla hajaondoka kwenda udom atalazimika kutoa taarifa chuo alichosajiliwa hapo awali ili wamuondoe kwenye system. Process itaishia hapo.Asante Kaka
Unaweza kutusaidia hatua za kufuata?
Asante kaka. Na vipi kama tukichagua kuandika barua badala ya kwenda moja kwa moja?Fungeni safari hadi chuo kikuu cha Dodoma kisha mkifika pale nendeni utawala mkuu ulizieni ofisi ya Director WA undergraduate then ukifika hapo eleza shida yako kuwa mdogo dogo alichaguliwa chuo Fulani ila tungependa ahamie udom. Utaulizwa sababu za kuhama na wataangalia kama hiyo kozi anayotaka kuhamia ina nafasi au LA ( kozi nyingi kwa udom zina nafasi isipokuwa kozi za afya tu). Kama INA nafasi utapewa form ya kujaza then atachagua abaki hapohapo aendelee na kitabu wakat akisubiri taratibu za usajili au arud huko alikochaguliwa asikilizie. Wakishatoa majibu rasmi kabla hajaondoka kwenda udom atalazimika kutoa taarifa chuo alichosajiliwa hapo awali ili wamuondoe kwenye system. Process itaishia hapo.
In case UDOM wakakubali na uhamisho ukifanikiwa, tutatumia njia gani kuwajulisha TCU kuwa tumehama chuo.Fungeni safari hadi chuo kikuu cha Dodoma kisha mkifika pale nendeni utawala mkuu ulizieni ofisi ya Director WA undergraduate then ukifika hapo eleza shida yako kuwa mdogo dogo alichaguliwa chuo Fulani ila tungependa ahamie udom. Utaulizwa sababu za kuhama na wataangalia kama hiyo kozi anayotaka kuhamia ina nafasi au LA ( kozi nyingi kwa udom zina nafasi isipokuwa kozi za afya tu). Kama INA nafasi utapewa form ya kujaza then atachagua abaki hapohapo aendelee na kitabu wakat akisubiri taratibu za usajili au arud huko alikochaguliwa asikilizie. Wakishatoa majibu rasmi kabla hajaondoka kwenda udom atalazimika kutoa taarifa chuo alichosajiliwa hapo awali ili wamuondoe kwenye system. Process itaishia hapo.
Ndugu hatukujua kama ni chuo cha private, tumekuja kujua baada ya kusajili.Sasa shobo zilikuwa za nini kumsajili mtoto chuo cha private kama hela amna, wabongo bhana!!
Ndugu hatukujua kama ni chuo cha private, tumekuja kujua baada ya kusajili.Sasa shobo zilikuwa za nini kumsajili mtoto chuo cha private kama hela amna, wabongo bhana!!
Asante kwa ushauri nduguTembelea website ya tcu, wametoa muongozo.