Habari zenu ndugu.
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kujiunga katika chuo cha private hapa dar es salaam, amesha-confirm na kashalipa nusu ya ada kwa ajili ya usajili na ameshasajiliwa. Sasa tatizo linalokuja hapa ni kwamba ada ni kubwa sana kwa makadirio ni million 2.1 na yeye mkopo amekosa.
Sasa wazo lililotujia hapa ni kumpeleka chuo cha serikali UDOM, sasa ndugu zangu naomba msaada wenu Je, inawezekana kuhama chuo katika hatua hii na ni hatua gani tunapaswa kufuata ili kukamilisha uhamisho kutoka private university kuelekea UDOM.
Natanguliza shukrani.