Kuhack mobile number

Kuhack mobile number

kukucd

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
307
Reaction score
196
Wanateknolojia kwa anayejua namna ya kuhack mobile number msaada jaman
 
Kupata sms na calls kutoka kwenye number nyngne tofaut na yangu .i mean number ya m2 mwngne
 
sasa ushasema namba ya mtu mwingne..wewe inakuhusu nn? by tha way una eza check spybubble itakusaidia..
 
Kupata sms na calls kutoka kwenye number nyngne tofaut na yangu .i mean number ya m2 mwngne

Inawezekana, LAKINI NI KINYUME CHA SHERIA, NA UNAWEZA KUSHITAKIWA NA KUFUNGWA! Unatumia simu aina gani na ina OS gani?
 
mkuu CYBERTEQ m nielekeze kwenye BB OS 10(BLACKBERRY 10 OS)..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom