Kugongewa mke inauma sana

Wanaume wa Bongo shida. Mnapenda kugonga halafu mkigongewa mnalia utadhani mmefiwa? Hii ''chemical reaction'' haitasimama hata siku moja mpaka wamaume tutakapojiheshimu. Wanawake siku hizi wamefunguka macho. Akikuona unachepuka wala hakuulizi bali na yeye analipiza.
 
Kugongewa kuna uma ukiwa wewe ni limbukeni wa mbunye , napinga ndoa kabsa ila nawashauri wenye ndoa wafundisheni wake zenu mapenzi slama na matumizi ya kinga kwa sababu kugongewa hakukwepeki wakuu.
Ulichoongea ni muhi, u sana maana watu hawatumii condom
 
MNM pole
 
Mi nakupa na spy app kabisa ili uone kila hatua mpaka jinsi atavyotafunwa ili mambo yasiwe mengi. Vijana wangu watakuwa around kuhakikisha usalama wa shughuli nzima.
Kuna mtu aliniomba nimtafutie hiyo app lakini nikaogopa anaweza kunidukua na Mimi badala ya yule alieniambia anataka kumdukua πŸ˜‚πŸ˜‚. Nipe jina la hiyo app chief kama haihitaji kuwa na access ya mhusika
 
Wewe sema "Mke wangu hata nimpe nini haridhiki".
Kujumuisha wanawake wote ni kuwakosea sana wale wake wasiopata chochote kutoka kwa waume zao na wameridhika.

Huyo mkeo asiyeridhika si ana chura lkn?
 
[emoji16]Boss inaonekana uliteseka sana na mapenzi, hatimae umekuwa master[emoji736]
Mkuu binadamu timamu anatafuta njia ya kutatua tatzo , ukiweza kutafuta njia ya kuzishinda hisia hasi kama uwoga ,chuki ,hasira, wivu , na nk unakuwa umefanikiwa sna .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…