Kugongewa mke inauma sana

Aligongewa Adam pale bustanini Eden,,,tena na ulinzi wa Mungu ukiwepo,,Wewe ni Nani Broo??Usigongewe??
Adam hakugongewa bhana. Pia maumivu unayopata wewe ukigongewa, ndiyo anayopata mwanamke akijua umemsaliti. Kikubwa tuheshimiane na tuwe waaminifu, kila mmoja anaumia iwe ke au me. Kila mmoja awe muaminifu kwa nafasi yake.
 
Polen sana wanandoa hapa tu nadate na wake za watu wawili alafu wanajivunia uwepo wangu,yanu kila nikiwaza kuoa naishiwa nguvu, ila sio mbaya nikigongewa ,yani unakutana na mke wa mtu k mnato kiasi kwamba unajiuliza aliwi au inakuwaje na minyeg kibao yani
 
Unaanzaje mahusiano na mke wa mtu Boss ?

Unajivunia Hilo?
 
Ni kweli inauma, nawashauri wapigaji muwe mnakariri haya maneno kama Sala "mke wa mtu ni sumu" kumbuka yule nyoka (koboko) anaegonga watu kichwani na unakufa kwa mda mfupi. Kuna siku panga litatua kichwani na utakufa kwa mda mfupi.
 
Ni kweli inauma, nawashauri wapigaji muwe mnakariri haya maneno kama Sala "mke wa mtu ni sumu" kumbuka yule nyoka (koboko) anaegonga watu kichwani na unakufa kwa mda mfupi. Kuna siku panga litatua kichwani na utakufa kwa mda mfupi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwaiyo unashauli na sisi tuchimbe mitaro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi mnawapata wapi wanawake wa namna hii?
 
Kula kanila flani wao kugongewa mke wala hawaumii

Shida ipo kwa mchepuko ,utadikia fita ni fita mura

Hahaha nilishawagongea wake Zao kadhaa
 
Ukiona umegongewa mke Jua na ww ulishagonga wake za watu karma ipo hivo ukicheka Sanaa bas utalia Sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…