Kugongewa mke inauma sana

Mwanamke akishaanza kugongwa nje hataacha huyo, hata aombe msamaha huku analia machozi ya kujaza pipa atarudia tu.
Uchaguzi ni wako umsamehe huku unajiandaa kuumia tena na kuja kutulilia hapa! au uachane nae kwa usalama wa afya yako ya mwili na akili.
Manake ukijua amegongelewa tena utajinyonga wewe unaonekana bado hujakomaa kuhimili vitu vizito.
 
Mkitukosea mara nyingi huwa tunasema tumesamehe ila sio kweli, na hapo ndo kuchepuka kunaanza,
Kama ni kuchepuka chepukeni muwezavyo
Kupiga pigeni mutakavyo
Kutukana tukaneni mtakavyo ila mioyo yetu ikichoka utaitatuta kamba ujitoe roho yako,

Ishini nasi kwa akili kama hauna usioe
 
Mwanamke kujiliza umsamehe anakutia moyo tu ila kuna ambacho kimempeleka huko na hutakaa ukijue.
 
Kile kidole ni noma 🀣🀣🀣 ushawahi jigonga hata na kona ya kitanda tu
Maumivu yake hayaelezeki sema huwa yanadumu kwa mda mfupi. Tofauti ya maumivu ya kidole na mapenzi ni muda tu. Kidole kinapoa haraka ila mapenzi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uko sahihi kabisa tunachotakiwa wanaume kuacha kufunganisha nafsi zetu na sehemu za siri za wake zetu, tukiweza fundisha akili zetu ktk hili ziweze kuignore tutajikuta tunaishi maisha marefu mpaka tunaona wajukuu na vitukuu vyetu ila tukifatilia tutaishia kuona watoto wetu alafu wajukuu na vitukuu utavisikia ukiwa kaburini ni mkeo pekee tu ndo ataviona, hii technique wanawake wameimaster sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…