Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,737
- 82,074
Not here please, they'll overflow and cause chaos.I'm ready for the compliments now. π€
π ebu huko kutendwa ni siri ya ndaniπ π π π π nasemaje hata wewe ukitendwa ikauma ile yenyewe nikijua najipongeza na kijikitimoto roast na ndizi π π π sheenzi
sijajua haya mambo hayana muda, ni kama ajali yanatokea mda wowote.Half american huyu mtoa mada si juzi hapa kaja anatafta mke inamaana kachapiwa too soon au sijamuelewa?
Dr punguza hii Briton language unawapa shida watu mpaka wapitie Oxford dictionary.I wouldnβt want you stressing about something as trifling as that! I want you happy & content!
Not here please, they'll overflow and cause chaos.
Huwa sielewi mnaposema tafuta hela, kwani kuna mtu ambaye hana pesa?Ili hayo yote usiyawaze, tafuta Hela kuwa na wanawake wa nje wasiopungua watatu na wengine kama watano wa kuwala kimasihara
Dr Matola PhD πππDr punguza hii Briton language unawapa shida watu mpaka wapitie Oxford dictionary.
Ndio silaha pekee wanayoamini inaweza kuwapa wanawake kwahiyo lazima waitilie mkazo.πHuwa sielewi mnaposema tafuta hela, kwani kuna mtu ambaye hana pesa?
Sawa mkuuπMuwe na huruma kwa kweli. Maana wanaume tumebakia wachache. Msitulazimishe kuchukua maamuzi magumu ya kujinyonga.
Why not? Rest assuredShould I expect a fully handwritten βοΈ when I wake up from my nap then?
Hela itakufanya uwe na uwezo wa kuwa na wanawake utakaye au kuwala kimasiharaHuwa sielewi mnaposema tafuta hela, kwani kuna mtu ambaye hana pesa?
Pun intended or unintended???πWhy not? Rest assured
Sasa mwanamke ana pesa zake unamrubuni vipi kwa pesa?Ndio silaha pekee wanayoamini inaweza kuwapa wanawake kwahiyo lazima waitilie mkazo.π
Alae na kipofu hamshiki mkono.Sasa mwanamke ana pesa zake unamrubuni vipi kwa pesa?
Ina maana new generation nguvu ya ushawishi ni somo gumu kwao?
We subiri vina muda basiπ ebu huko kutendwa ni siri ya ndani
Havina muda ndio maana tunaishi na nyie kwa akili sanaWe subiri vina muda basi
Nimecheka sana walahi, uchumi uimarike Kitaa.ππAlae na kipofu hamshiki mkono.
Kuna mahali wanafeli ila bado hawajagundua kwahiyo tuwaache waendelee kumwaga pesa mtaani uchumi uimarike ππ