Kugombana na mpenzi

Mkuu huu uandishi umekurupushwa kutoka usingizin?
 
Demu akikupenda sanaa ukamfanya dhaifu then akaichoka hio hali ya kuombwa misamaha. Hapo demu hana tena hisia na huyo jamaa yako na movie ndio imeanza sasa. Popcorn wapi jamaniii!!!

I bet jamaa yako atafurahia show sasa.
Ajiandae na vimbwanga vya kukata na shoka. Atasalitiwa, Atatukanwa, Atablokiwa, Atadharauliwa, Atatengwa, Atachafuliwa kwa mashoga zake yanii na Asifikirie kukaa kimya itasaidia maana huyo mwanamke kashampunguza kwenye list ya watu special moyoni na machoni yeye ni wa kawaida tu sasa. Kujikomba komba hakutamfanya demu awe mwema either. Zaidi atamtumia jamaa kwa manufaa yake hapo hamna mapenzi tena. Mwambie ndugu yako "AMWACHE AENDELEE NA MAISHA YAKE"

ANGALIZO: Usiombe penzi likufie mkononi waweza kuwa kichaa kabisa hasa umpendae akikuchoka!
 
Huo mda anaoumiza kichwa kumtafta mwanamke,kam angeutumia kutafuta pesa..sas hvi angekuwa mbali saan
 
He tried kwenda chuo,but hajawhi kumpata,
Hajampata kwa maana ipi..Msichana chuoni haendi??..
n kwenda kwao its not that easy,jamaa hakujitambulisha
Mkuu we wa ushuani nn?..uswazi msichana sio lazima ukapige hodi kwao ili kuonana nae..Jamaa yako naona hajafanya juhudi za kutosha..Hasihukumu moja kwa moja..Ajaribu kumtafuta msichana waongee nae..Na inawezekana msichana ana matatizo ndo mana hapatikani..Amejaribu kulifikiria hilo??
 
Duuuh! Wachaga KATIKA ubora wao wa kuvunja miji na mahusiano,,,,kitu pesa tu ndo hitaji lao ....mwambie asahau,,,hizo people za kichaga huwa zinamaamuzi MAGUMU sana,wakat wowote husepa,,,
 
Kwanza ashukuru n mpenz na syo mke. Aachane nae tu. Coz some girls wapo kama bendera. Hufuata upepo.
 
Class analosoma halifaham,
Kuhusu tatizo sidhani,the girl hapatikani gafla bila neno lolote lile
 
hi
hizi relationship za 5years hizi na haya ndio huwa matokeo yake 5yrs wachunguza nini huko duuuuh lazima haya mambo yatoke tu
 
watu wanawaza pesa watapataje wewe na rafiki yako mnawaza kumrudisha kundini mtu ambaya hata uko aliko atakua na muhuni mwenzake,
au huyo binti ni bosi wake??
 
kwan una haraka gani mkuu... si utulie uandike vizuri ueleweke...!!
 
Akilifanyia kaz hilo hakika atajua tatizo liko wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…